Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Wewe nakujua, ni chawa wa vitengo mbalimbali, unatupwa huku ,unapelekwa kule maisha yanaendelea.
Unanijulia wapi sakala wewe?!!!

Mimi ni muuza kahawa tu huku mtaani ila mwenye kuifuatilia vyema CCM na wazandiki pamoja na wafitini kama nyinyi.....

Mkuu CHUKI HUVIZA MOYO
 
Nawe ukatibu muhtasi wa nani aliyekupa nguvu ya kumshambulia mtu na kumchafulia HESHIMA yake ?!!!
Nani aliyemshambulia, watz wanatoa maoni na mitazamo yao juu ya wizara husika hadi wanajirekodi clip, halafu unaniambia mimi nashambulia.?

Then mnaita sukuma gang, Waziri mzigo anafukarisha watanzania a'step down!
 
Hata wewe unaweza kujirekodi! Kwani kujirekodi shida?

Waziri mzigo kwa kipimo gani?

Tulieni tu! Tumejifunza mlivyo washamba na wazandiki! Sidhani kama mtakuja kushika madaraka makubwa tena nchi hii
 
Nani aliyemshambulia, watz wanatoa maoni na mitazamo yao juu ya wizara husika hadi wanajirekodi clip, halafu unaniambia mimi nashambulia.?

Then mnaita sukuma gang, Waziri mzigo anafukarisha watanzania a'step down!
Wapi nimetamka neno hilo "sukuma gang"?!??😳😳

Umeombwa utoe USHAHIDI wa kuhusika kwake na hizo KADHIA...umeshindwa kuutoa kwa kuwa HAUPO.... HUNA kabisa......
 
He has to go, nyie mnaotaka ushahidi humu JF, hivi zinawatosha?? nyie mahakama?
Wewe Rebecca zinazokutosha vyema unapomtuhumu mtu ni lazima uwe na USHAHIDI...kwani umeupeleka mahakamani ama umetuletea tuhuma hapa HADHARANI ?!!!

CHUKI HUVIZA MOYO
 
Ngosha acha maneno! Weka ushahidi wa wizi na upigaji wa January Makamba
 
Kuna uthibitisho gani hapo?

Kesi ilishawai funguliwa kituo gani cha polisi? Ikapewa no ipi? Ikasikilizwa mahakama ipi na akahukumiwa na mahakama ipi?

Hizo clip kila mtu anaweza kurekodi na kutuma popote!
 
Back
Top Bottom