Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Unataka ukumbushwe ARGUMENTUM AD HOMINEM kwa ulichokiandika mwenyewe hapo juu?!!! 😳🤣🤣Matusi gani, nambie nimetukana wapi?
Weka ushahidi ili zisiwe ni porojo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ukumbushwe ARGUMENTUM AD HOMINEM kwa ulichokiandika mwenyewe hapo juu?!!! 😳🤣🤣Matusi gani, nambie nimetukana wapi?
NECTA nao walikuwa wanalichukia walipolifutia matokeo kwa wizi wa mitihani ili lionekane kipanga kumbe zero brain!!!?Huu ndio USHAHIDI credible?!!!
Yaani CHUKI za huyu Dr.Nurdin Jella zinajulikana na kila mtimilifu wa akili....kweli wewe ni sakala.....
Nimekuuliza nimetukana wapi?Unataka ukumbushwe ARGUMENTUM AD HOMINEM kwa ulichokiandika mwenyewe hapo juu?!!! 😳🤣🤣
Weka ushahidi ili zisiwe ni porojo.....
Hoja ni MAKAMBA....wazazi wasiohusika wanakujaje hapa ?!!!Mnaotaka ushahidi kwamba makamba ni mwizi, ulizeni mama zenu je? Huyo unayemuita baba ni baba yako kweli? Akisema ndio, muulize nipe ushahidi.
Ushahidi kwamba wewe ni Jaji Tiganga?😃😃.Wapi nimetamka neno hilo "sukuma gang"?!??😳😳
Umeombwa utoe USHAHIDI wa kuhusika kwake na hizo KADHIA...umeshindwa kuutoa kwa kuwa HAUPO.... HUNA kabisa......
Una ugonjwa wa kusahau ulichoandika mwenyewe?!!!!Nimekuuliza nimetukana wapi?
Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadiHoja ni MAKAMBA....wazazi wasiohusika wanakujaje hapa ?!!!
Isn't it insanity?!!!
Lete ushahidi ili zisiwe ni POROJO NA CHUKI ZA KIZWAZWA......
😳🤣🤣Ushahidi kwamba wewe ni Jaji Tiganga?😃😃.
Acha hizo, wewe si mahakama wala si chochote.
We jamaa bwana, we ulinitukana mie ni sakala, lakini hakuna mahala nimetukana mtu, nimekuuliza nimetukana wapi? Unabaki kuandika nonsense, kama umeshindwa kuthibisha hilo pls, endelea na issue zako..Una ugonjwa wa kusahau ulichoandika mwenyewe?!!!!
Umewaingiza wazazi....ama wao ndio MAKAMBA?!!!
Lete ushahidi na uache porojo za usiku mwingi......
CHUKI HUVIZA MIOYO
😳😳🤣🤣
Kwani nimekufata PM ?!!! 😳🤣🤣We jamaa bwana, we ulinitukana mie ni sakala, lakini hakuna mahala nimetukana mtu, nimekuuliza nimetukana wapi? Unabaki kuandika nonsense, kama umeshindwa kuthibisha hilo pls, endelea na issue zako..
Mwizi wa mitihani akitetewa na wezi wenzie wa mitihani...😳🤣🤣
Inakuwaje unatuletea hapa mambo ya mahakamani ?!!!
Vituo vya polisi na mahakama huvijui ukaupeleka huo USHAHIDI?!!!
Acha usakala mzushi wewe
NECTA waliomfutia matokeo walikuwa na chuki naye huyo marope..???😳😳🤣🤣
Yaani ushahidi wako ni kutoka kwa dada Mange ambaye "ana issue" inayomtia chuki dhidi ya January na dada Mwamvita?!!!
Kweli wewe U SAKALA🤣🤣🤣
😳😳🤣🤣🤣Mwizi wa mitihani akitetewa na wezi wenzie wa mitihani...
Licha ya kuiba mtihani inaonekana hukufaulu pia.
Chuki ipi? Hebu nambie wana chuki ipi? Nipe ushahidi wana chuki ipi.😳😳🤣🤣
Yaani ushahidi wako ni kutoka kwa dada Mange ambaye "ana issue" inayomtia chuki dhidi ya January na dada Mwamvita?!!!
Kweli wewe U SAKALA🤣🤣🤣
Una stress sana binti.😳🤣🤣
Inakuwaje unatuletea hapa mambo ya mahakamani ?!!!
Vituo vya polisi na mahakama huvijui ukaupeleka huo USHAHIDI?!!!
Acha usakala mzushi wewe
Marope hata akili za kufanya mitihani hukuwa nazo😳😳🤣🤣🤣
JIDANGANYE
Lete ushahidi sakala wewe
Mh.Kikwete hakuliona hilo?!!!NECTA waliomfutia matokeo walikuwa na chuki naye huyo marope..???