Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Umekuwa MPAYUKAJI ...

Yaani hayati JPM aliyekuwa anapambana dhidi ya WEZI ,WABADHIRIFU NA WAFOJAJI VYETI VYA TAALUMA aamue kumteua uwaziri mh.J.Makamba?!!!

Umejawa na stress usiku huu wa manane 🤣🤣
Wewe marope NECTA walishakuanika huna pakujificha.
Ulipewa nafasi ya upendeleo kama ya bashite,
umepewa lift unatak upige na honi wewe ni mwizi marope.
Na sasa ndio unazihirisha huna akili kila kitu kimekushinda.
 
Magufuli alimteua uwaziri January kutokana na kazi yake na genge lake kwa kuiba kura kidijitari na kuwawezesha ccm kushinda uchaguzi!! Kumbuka Magufuli hakumshinda Lowassa ingawa ndio alitangazwa kushinda; kazi ya kuiba kura kigigitali ilifanywa na wakina January na ndiyo maana walivyoona Magufuli anawadharau wakaanza kuchora CARTOONS kumkumbusha kuwa wao ndiyo waliomuweka madarakani!! Toka hapo ndio uadui wao ukaanza wazi wazi kwani Magufuli aliona kama walikuwa wanamfanyia blackmail!!
POROJO nyingine....

Huna ushahidi kuwa mh.Lowassa alishinda uchaguzi mkuu....
 
Magufuli alimteua uwaziri January kutokana na kazi yake na genge lake kwa kuiba kura kidijitari na kuwawezesha ccm kushinda uchaguzi!! Kumbuka Magufuli hakumshinda Lowassa ingawa ndio alitangazwa kushinda; kazi ya kuiba kura kijigitali ilifanywa na wakina January na ndiyo maana walivyoona Magufuli anawadharau wakaanza kuchora CARTOONS kumkumbusha kuwa wao ndiyo waliomuweka madarakani!! Toka hapo ndio uadui wao ukaanza wazi wazi kwani Magufuli aliona kama walikuwa wanamfanyia blackmail!!
Right on the money on this one!
 
Wewe marope NECTA walishakuanika huna pakujificha.
Ulipewa nafasi ya upendeleo kama ya bashite,
umepewa lift unatak upige na honi wewe ni mwizi marope.
Na sasa ndio unazihirisha huna akili kila kitu kimekushinda.
😳😳🤣🤣
Kwa jinsi ulivyo sakala hobobo umeamua kubadili gia ya uchizi na kuamua kuniita mimi ni huyo ndugu UNAYEMCHUKIA 🤣🤣

CHUKI HUVIZA MOYO
 
Sijawahi kumshambulia hayati JPM hata siku moja....usinijumuishe katika CHUKI zako za kisakala

Sina matatizo na wewe kama utatubu kuwa wewe na genge lako hamjawahi kumshambulia Jiwe!!!! Ingawa sio rahisi kuamini kutokana na ushabiki wako kwa wakwere!!
POROJO nyingine....

Huna ushahidi kuwa mh.Lowassa alishinda uchaguzi mkuu....

Wewe kifuu unajua siri ya Magufuli kumuheshimu Lowassa mpaka ameingia kaburini? Alijua kuwa walimuibia kura na kumfanya aonekane kamshinda Lowassa!!! Juu ha hivyo alijua kuwa kura za wafuasi wa Lowassa ndio zilimfanya awashindewapambe wa Kikwete na kupata uteuzi wa ccm kugombea URAIS!
 
😳😳🤣🤣
Kwa jinsi ulivyo sakala hobobo umeamua kubadili gia ya uchizi na kuamua kuniita mimi ni huyo ndugu UNAYEMCHUKIA 🤣🤣

CHUKI HUVIZA MOYO
Huwezi kutetea mwizi kama sio mwizi marope wewe ni zero brain.
 
Sina matatizo na wewe kama utatubu kuwa wewe na genge lako hamjawahi kumshambulia Jiwe!!!! Ingawa sio rahisi kuamini kutokana na ushabiki wako kwa wakwere!!

Wewe kifuu unajua siri ya Magufuli kumuheshimu Lowassa mpaka ameingia kaburini? Alijua kuwa walimuibia kura na kumfanya aonekane kamshinda Lowassa!!! Juu ha hivyo alijua kuwa kura za wafuasi wa Lowassa ndio zilimfanya awashindewapambe wa Kikwete na kupata uteuzi wa ccm kugombea URAIS!
Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpaka
aliporudi CCM ndio akaachiwa??? Alimuogopa kiaje????
Lowasa hakuwa mtu wa maneno ndio maana Magufuli hakuwa
anamjibu Lowasa majukwaani.
 
Chuki huviza moyo....

Hao wakwere si watanzania kama ulivyo wewe?!!?

Wewe una ubora gani kuwazidi hao?!!!

Mimi sina genge mwayego

Nimejifunza kitu kwako kuwa UMEJAA CHUKI ZA KITABAKA NA KIKABILA

Weka ushahidi wa mabaya ya Makamba akiwa waziri wa nishati
 
Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpaka
aliporudi CCM ndio akaachiwa??? Alimuogopa kiaje????
Lowasa hakuwa mtu wa maneno ndio maana Magufuli hakuwa
anamjibu Lowasa majukwaani.
😳😳😳🤣🤣

Acha uongo

Mh.Lowassa ana mkwe gani aliyekuwa TRA ?!!!😳😳

Kweli wewe ni mzee wa POROJO
 
Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpaka
aliporudi CCM ndio akaachiwa??? Alimuogopa kiaje????
Lowasa hakuwa mtu wa maneno ndio maana Magufuli hakuwa
anamjibu Lowasa majukwaani.

Wewe kifuu inaelekea hujui tofauti kati ya "KUHESHIMU" na "KUOGOPA"; nenda shule kwanza ndiyo uje uzungumze na wakubwa!
 
Umeanza kumuita KIFUU mtetezi mwenzako wa uzushi wenu wa mchongo dhidi ya mh.Makamba?!!!🤣🤣🤣
 
Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavu

Sipendi sana mtu kuonewa kwa sababu ya chuki na uzandiki tu!
Sasa wewe tupe ushahidi ulio nao kuhusu usafi wa Makamba, maanake umeng'ang'ana weeee upewe ushahidi. Tueleze wewe usafi wa Makamba ili watu waache kumsakama na tuhuma zisizomhusu kabisa.
 
Umeanza kumuita KIFUU mtetezi mwenzako wa uzushi wenu wa mchongo dhidi ya mh.Makamba?!!!🤣🤣🤣

Sina ubia na mtu humu, michango yangu inategemea ukweli uko wapi sio kupindisha pindisha mambo!! Nyie mnaolipwa kutetetea upuuzi ndio mnajuana makundi yenu!!!
 
Huna ukweli wowote....

Kama una ukweli mbona umeshindwa kuweka USHAHIDI juu ya usemacho zaidi ya "ARGUMENTUM AD HOMINEM and tarnishing of other people's image"?!!!

UZUSHI UZANDIKI NA CHUKI HUVIZA MIOYO
 
Makamba si wa kumchafua hivi....AMESHAZOEA kuchafuliwa na MASAKALA.....

Kweli mti wenye matunda mazuri ndio hupopelewa mawe......

#Siempre JMT[emoji120]
Mwenyewe katulia tuli

Anaendelea kusikiliza mipasho ya

Wabongo aka malalamiko fc

Ova
 
Back
Top Bottom