Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuuh aiseee......friidomu hii nadhani imevuka minyau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa hai ? msimsahau Mungu jamaniJanuary ndiye Rais ajaye baada ya Mama kumaliza awamu zake.
Walio upinzani wamhofie January ! nadhani utakuwa umelogwa au umepigwa zongo la kisambaaSababu za kumshambulia zinajulikana.......
1)Ukaribu wake na mh.Kikwete(speech writer during Kikwete's tenure) unawatisha sana WATU WANAOMCHUKIA JAKAYA......
2) Exposure yake kubwa ya mambo..... kufikia kuteuliwa tena UWAZIRI inawatisha sana "WACHAWI WANAOJULIKANA" na walio upinzani........
Huo ndio ukweli
Kataa.....Walio upinzani wamhofie January ! nadhani utakuwa umelogwa au umepigwa zongo la kisambaa
IStive nyerere nae hajaachwa , kala spana ya utosi, ngosha wa wapi huyu ?
Sijui unataka ushahid gani juu ya uadilifu wa January? Haiwezekani Watu wote Hawa wamzushie bila kuwa na ukweli!!! Wewe huwezi kuamini kwasababu you are paid to try and clean him!!Huna ukweli wowote....
Kama una ukweli mbona umeshindwa kuweka USHAHIDI juu ya usemacho zaidi ya "ARGUMENTUM AD HOMINEM and tarnishing of other people's image"?!!!
UZUSHI UZANDIKI NA CHUKI HUVIZA MIOYO
Uhuru wa kutoa mawazo/wacha tuendelee kuona kama kuna sauti ya wengi.Janaume linajiamini mmmhh[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashindwa kuelewana kwa sababu moja tu, bus ulilopanda na mtizamo ambao umeujenga.Hoja gani katoa? Katoa uthibitisho wowote wa Wizi wa January?
Sukuma gang mna shida sana!
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..
Wakuu siongezi kitu, tumsikilize
Hili lijiga la wapi ?? Naona sauti ya kisukumasukumaSomething is not right, s'thing is quite wrong mazee..
Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
View attachment 2183141
Mpina ni Chadema???Chadema mnamsakama sana Makamba jr!
Achana naye huyo marope ni basha wake.Usukuma gang umetoka wapi. We mbona unawatetea sana kwenye kila thread. Wanakulipa sh ngapi
Yule Yona alifungwa jela kabisa!Hii wizara haijawahi muacha mtu salama bwashee
Kwako ujinga leta sasa factSasa huyu ameongea nini ya kumtia Makamba hatiani?
Si bora mpina alijenga hoja?
Ujinga huu ni wa kufungulia uzi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti jinga la wapi aloo[emoji2][emoji2]Hili lijiga la wapi ?? Naona sauti ya kisukumasukuma
Sijui unataka ushahid gani juu ya uadilifu wa January? Haiwezekani Watu wote Hawa wamzushie bila kuwa na ukweli!!! Wewe huwezi kuamini kwasababu you are paid to try and clean him!!
Jadili content mzee.Hili lijiga la wapi ?? Naona sauti ya kisukumasukuma
Kampiga spana za 'uchi' bwana Waziri kwa kirefu sana, wengine ni wavivu kusoma riwaya.Ungeweka video na kuandika maneno , wengine video huwa atufungui.
Tutaliwa mpaka na nywele nazo zitaliwa.Issue ndogo tu hiyo, huyo katema nyongo yake live.
Huu upupu umerudishwa ni tabu tu tutatawaliwa mpk na vitukuu vyao.
Huyo waziri bila baba yake hata hapo pumbuli hafai.
Kasoma sana kasoma wapi? intelligent sijui nini ndio mana tunaonekana mafwala tu.
Jitu linabeba mavitabu meengi linakuja mahakamani kuzugazuga mara mnambatiza sijui wakili msomi.
Wasomi km wasomi wachache sana hapo kwetu na maybe hawapo.
Kusoma ni uelewa.
Huyo bwamdogo kapewa hiyo Wizara tutegemee nini?
Anapiga hela agombee urais 2025.
Tutaongea mengi sana ila picha iliyoko mbele sio nzuri.
RIP JPM🙏.