Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Una stress sana binti.
Mwenye STRESS ni wewe uliyejaza kifua chako CHUKI usiku mnene huu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Una stress sana binti.
Jameni. Hebu acheni utani juu ya nchi hii.
Hiki ulichoandika hapa kina ukweli wowote, halafu ikawa kweli akaukwaa uwaziri?
Taarifa ya namna hii wateuzi wake hawakuiona, au waliiona na kuipuuza?
Hii JF sasa inakuja na kila aina ya uchafu, huwezi kujua kipi uamini na kipi usiamini.
This is completely out of whack!
Ni vigumu sana kuamini kitu kama hiki kutokea, pamoja na kwamba tumekuwa nchi ya hovyo kupita kiasi.
Hata hivyo, inanibidi tu kukupa 'Like', kwa mstari wako huo wa mwisho.
Hakuliona!!!!? umejisahaulisha kama ulirudia QT...Mh.Kikwete hakuliona hilo?!!!
Hayati JPM hakuliona hilo?!!
Mh.Rais SSH hajaliona hilo?!!
Ila sakala wewe umeliona hilo🤣🤣
Pathetic
....halafu ikapita miaka na hayati JPM akamteua UWAZIRI....Kumbuka hii ilitokea wakati January ndiyo anagombea ubunge kwa mara ya kwanza sio jana!!! Hakuna uzushi hapa ni kweli tupu!!!
😂😂😂 ee BaghoshaSomething is not right, s'thing is quite wrong mazee..
Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
View attachment 2183141
Wewe hata upewe dawa ya namna gani huwezi kupona!Chadema mnafanya siasa za " reja reja" za kupambania watu badala ya maswala!
😳😳🤣🤣Hakuliona!!!!? umejisahaulisha kama uliruida QT...
Huna akili mpaka uibe mtihani marope..
Naona ulipo fanya QT uliboresha mbinu za kuiba hukufaulu marope.
Usukuma gang umetoka wapi. We mbona unawatetea sana kwenye kila thread. Wanakulipa sh ngapiNdo mana mnaambiwa nyie sukuma gang hamnaga akili na mmejaa ushamba, wivu , chuki na roho mbaya
Eti makamba mwizi! Embu tupe ushahidi Makamba kawai kuiba nini? Alishtakiwa wapi? Alihukumiwa na mahakama ipi?
Kweli UCHAFU umezidi JF....
#Siempre JMT🙏
Ukiwa unajitetea marope unakumbuka Magufuli kumbe ni hayati....halafu ikapita miaka na hayati JPM akamteua UWAZIRI....
Lete ushahidi "tangible" na si POROJO koko
Sijawahi kumshambulia hayati JPM hata siku moja....usinijumuishe katika CHUKI zako za kisakalaMnaita UCHAFU kwavile unawavua nguo lakini ingekuwa anasemwa Magufuli mgekuwa mnashangilia!! Msumeno wa JF unakata kote kote!! Tunataka ukweli utawale ili nchi yetu iendelee.
Huyo yupo hapo kwa hisani ya waliomuweka kwa malengo maalum.Kuna haja ya kufanya ya kupaza sauti iwe kwenye mitandao, barabarani, whatever huyu waziri atoke asee..
Kuna umuhimu wa kuanzisha campaign ya kutokuwa na imani na huyu Makamba.
😳😳🤣🤣Ukiwa unajitetea marope unakumbukaMagufuli ni hayati
sio mwendakuzimu...
Wewe Marope ni mwizi NECTA wanakujua.
Marope wewe ni mwizi toka unasoma..😳😳🤣🤣
Kweli umejawa na stress bi dada
Kweli Mirembe vitanda vimejaa....Marope wewe ni mwizi toka unasoma..
Huwezi ukaiba mtihani kama una akili, marope mirembe ni nyumbani kwako.Kweli Mirembe vitanda vimejaa....
....halafu ikapita miaka na hayati JPM akamteua UWAZIRI....
Lete ushahidi "tangible" na si POROJO koko
Hizo ni story tu....Magufuli alimteua uwaziri January kutokana na kazi yake na genge lake kwa kuiba kura kidijitari na kuwawezesha ccm kushinda uchaguzi!! Kumbuka Magufuli hakumshinda Lowassa ingawa ndio alitangazwa kushinda; kazi ya kuiba kura kigigitali ilifanywa na wakina January na ndiyo maana walivyoona Magufuli anawadharau wakaanza kuchora CARTOONS kumkumbusha kuwa wao ndiyo waliomuweka madarakani!! Toka hapo ndio uadui wao ukaanza wazi wazi kwani Magufuli aliona kama walikuwa wanamfanyia blackmail!!
Kwa hiyo unataka watu waanze kupiga kelele za 'Maza Mizinguo' kuwa ndiye mwizi, hapo ndipo utakapoelewa?Nawaonea huruma sana sukuma gang!😂😂
Poleni Makamba ndo Waziri wa Nishati na hamna la kumfanya
Umekuwa MPAYUKAJI ...Huwezi ukaiba mtihani kama una akili, marope mirembe ni nyumbani kwako.