Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa SABAYA ni mwanachama wa TADEA.......Wewe uliskia wapi ccm wanapelekana police
Wewe uliskia wapi ccm wanapelekana police
🤣🤣Makamba toka awachpe 2015 CDM mnamchukia aisee
Kwake Musiba na mh.Membe ni wafuasi wa Profesa Lipumba.....Membe alimpeleka Msiba mahakamani na Musiba ameamliwa amlipe Membe bilioni 7
Wote ni ccm
Una lingine?
😍Makamba toka awachpe 2015 CDM mnamchukia aisee
Jameni. Hebu acheni utani juu ya nchi hii.Mnaweza kupuuzia maneno ya huyu bwana lakini you will be doing it at your own peril!! Huyu January ana history ya kutokuwa muaminifu; kama mnakumbuka mara ya kwanza alipokuwa anaomba ubunge dada lake Mwanvita alikuwa na bwana Mzungu. January alimuandikia barua shemeji yake amtafutie mkopo wa fedha kama dollar million moja zimsaidie kwenye Uchaguzi na ANGEZILIPA BAADA YA YEYE KUTEULIWA KUWA WAZIRI WA MADINI BAADA YA UCHAGUZI!!
HAYA SIO MAJUNGU JAMANI HATUMSINGIZII JANUARY, COPY YA ILE BARUA IMO MWENYE ARCHIVES ZA JF; WAHUSIKA WAKITAKA WANAWEZA KUIWEKA HAPA kwani ilibandikwa hapa wakati huo.
😍Jameni. Hebu acheni utani juu ya nchi hii.
Hiki ulichoandika hapa kina ukweli wowote, halafu ikawa kweli akaukwaa uwaziri?
Taarifa ya namna hii wateuzi wake hawakuiona, au waliiona na kuipuuza?
Hii JF sasa inakuja na kila aina ya uchafu, huwezi kujua kipi uamini na kipi usiamini.
This is completely out of whack!
Ni vigumu sana kuamini kitu kama hiki kutokea, pamoja na kwamba tumekuwa nchi ya hovyo kupita kiasi.
Kweli UCHAFU umezidi JF....Jameni. Hebu acheni utani juu ya nchi hii.
Hiki ulichoandika hapa kina ukweli wowote, halafu ikawa kweli akaukwaa uwaziri?
Taarifa ya namna hii wateuzi wake hawakuiona, au waliiona na kuipuuza?
Hii JF sasa inakuja na kila aina ya uchafu, huwezi kujua kipi uamini na kipi usiamini.
This is completely out of whack!
Ni vigumu sana kuamini kitu kama hiki kutokea, pamoja na kwamba tumekuwa nchi ya hovyo kupita kiasi.
We ni aina ya mtu, wajanja wanamt¤mb* mkeo, watu wakikuambia unawauliza wakupe ushahidi.Kwa iyo tuamini upuuzi wenu mnaoleta humu kwa chuki na uzandiki wenu tu?
Umeona sasa? Jk ameingiaje hapa? Kwa takwimu zipi Unasema jk alikuwa Rais mbovu?
Unazidi kuhamisha tu magoli! Jk anaingiaje kwenye mjadala wa Makamba?
Mkiambiwa sukuma gang hamna akili ni wapuuzi mliojaa chuki na uzandiki mtakaa?
Ngosha acha maneno! Weka ushahidi wa wizi na upigaji wa January Makamba
Hili jambazi lililofutiwa matokeo na Necta ndio mnaliombea uthibitsho au!!!?Kuna uthibitisho gani hapo?
Kesi ilishawai funguliwa kituo gani cha polisi? Ikapewa no ipi? Ikasikilizwa mahakama ipi na akahukumiwa na mahakama ipi?
Hizo clip kila mtu anaweza kurekodi na kutuma popote!
Acha matusi sakala wewe....We ni aina ya mtu, wajanja wanamt¤mb* mkeo, watu wakikuambia unawauliza wakupe ushahidi.
Umefunga kichwa chako, yaani umeweka na pattern kabisa kwamba haupo tayari kukubaliana na hoja kinzani.
Sasa unatupotezea muda na nguvu bure, namna bora ya kuhakikisha kama jambo ni kweli ni kuanza we mwenyewe kulichunguza na kujiridhisha, sio unakomaa tu, ushahidi, ushahidi..
Serikali inapojifanya haioni yanayoendelea kinachofuata ni wananchi kuingilia kati na kujiridhisha kwa kufanya uchunguzi wao binafsi, na wananchi wanapoingilia jua kabisa kuna mengi yatasemwa kwa sababu ni wananchi na hawatumii utaratibu maalumu kama kamati maalumu.
Usifikiri watu ni wajinga, Magu alikuwa hoi anaumwa anakaribia kukata roho, watu walisema Mh yupo hoi, wakakamatwa eti wanasema uongo na uzushi, mshamba kama wewe ungewahoji ushahidi, lakini walikuwa sahihi na ndicho kilichotokea, kwaa hio usifikiri mtaani hawajui yanayoendelea.
Unashangaza sana, na unatia hasira watu.
Watafutaji wanajua changamoto wanayokutana nayo, watu wenye miradi yao na wanaojua kuitafuta pesa kihalali hujui uchungu walionao.
Wewe kama huishi kwa shemeji yako utakua huna hata kazi.
Unaongea rubbish watua wanakushangaa.
Ushahidi, ushaahidi, mwisho utamuuliza mama yako mzazi akupe ushahidi kama huyo ni baba yako mzazi.
Matusi ,kedi ,uzushi na dhihaka hizo hazijaanza USIKU huu.....Hili jambazi lililofutiwa matokeo na Necta ndio mnaliombea uthibitsho au!!!?
Limeweza kuiba mtihani liko shule sembuse likiwa waziri..
Atamchunga vipi kama kawekwa hapo kwa maksudi hayo hayo!Aiseee, ila haya maneno si ya kupuuza aisee, Mh. Rais amchunge sana January kiukweli
Matusi gani, nambie nimetukana wapi?Acha matusi sakala wewe....
Kama una uchungu hebu JILIPUE peke yako basi......
NECTA walilionea wivu nao au nako sukuma gang hawakutaka lifaulu!!!?Matusi ,kedi ,uzushi na dhihaka hizo hazijaanza USIKU huu.....
Huu ndio USHAHIDI credible?!!!