Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Magu alikuwa bora 1000 time ukianzia mwnyi hadi Jk
Jk alikuwa raisi mbuvu haijapata kutokea nchi ilikiwa shamba lala bibi
Umeona sasa? Jk ameingiaje hapa? Kwa takwimu zipi Unasema jk alikuwa Rais mbovu?

Unazidi kuhamisha tu magoli! Jk anaingiaje kwenye mjadala wa Makamba?

Mkiambiwa sukuma gang hamna akili ni wapuuzi mliojaa chuki na uzandiki mtakaa?
 
Na kwa nini chuki ielekezwe kwake na sio kiongozi mwingine?? 😊😊😴😴😴🤔🤔🤨
Ndio hapa utasikia sukuma gang, badala ya kujibu hoja..umeme ni kitu muhimu kwa afya ya taifa.

Siasa zimewapofua macho sasa kila mtu anayejaribu kukosoa utendaji wa wizara anaitwa sukuma gang.

Pathetic.
 
Mkuu nishati ya umeme ni very sensitive, ukiharibu hapo umeharibu uzalishaji kwa asilimia 90, unataka tuendelee kudidimia kimaisha kisa tu mtoto wa fulani kabebwa na hana uwezo wa kuendesha wizara watu wakae kimya?

Hili suala si la Sukuma gang, chadema wala ccm ni consequences kwa watanzania wote na hasa wa daraja la chini.
Acha maneno weka uthibitisho wa wizi upigaji wa January?
 
Magu alikuwa bora 1000 time ukianzia mwnyi hadi Jk
Jk alikuwa raisi mbuvu haijapata kutokea nchi ilikiwa shamba lala bibi
😳🤣🤣
Ewe MPAYUKAJI endeleza tu CHUKI zako zisizokusaidia......

Awamu ya JPM imepita kama itakavyopita ya mh.SSH na watakuja wengine.....

TANZANIA IPO TU.....

#Siempre JMT🙏
 
Mimi sio mpuuzi kaka nyie wa kuamini stori za vijiweni

Mimi Pia sio mfuasi wa siasa za chuki na za uzandiki za huyo Magufuli! Ndo mana nilitofautiana nae humu baada ya jaribio la kuuliwa la Tundu Lissu na kupotea kwa Ben Saanane!

Ukiniambia fulani ni mwizi nipe uthibitisho wa wizi wake, ukisema fulani ni mpiga dili nipe uthibitisho wa upiga dili wake hapo ndo tutaenda sawa

Zaidi naona unapiga maneno tu huna hoja yeyote ya msingi juu ya January Makamba
Wewe unaugonjwa wa kusahau kama hauna ugojwa utakuwa ni mtoto sana haujua janja janja ya makamba toka enzi za jk ngoja tufukue makaburi ya enzi za jk
 
Ndio hapa utasikia sukuma gang, badala ya kujibu hoja..umeme ni kitu muhimu kwa afya ya taifa.

Siasa zimewapofua macho sasa kila mtu anayejaribu kukosoa utendaji wa wizara anaitwa sukuma gang.

Pathetic.
Eti pathetic

Tunasubiri ushahidi wako wa wizi na upigaji wa January Makamba
 
Umeona sasa? Jk ameingiaje hapa? Kwa takwimu zipi Unasema jk alikuwa Rais mbovu?

Unazidi kuhamisha tu magoli! Jk anaingiaje kwenye mjadala wa Makamba?

Mkiambiwa sukuma gang hamna akili ni wapuuzi mliojaa chuki na uzandiki mtakaa?
Jk na makamba ni kidole na pete, thats the chain.

Huwezi watengenisha hawa kwenye michongo ya kuhujumu Taifa.
 
Wewe unaugonjwa wa kusahau kama hauna ugojwa utakuwa ni mtoto sana haujua janja janja ya makamba toka enzi za jk ngoja tufukue makaburi ya enzi za jk
Ngosha acha maneno! Weka ushahidi wa wizi na upigaji wa January Makamba
 
Jk na makamba ni kidole na pete, thats the chain.

Huwezi watengenisha hawa kwenye michongo ya kuhujumu Taifa.
Hahahahaha, dogo wapi milembe

Unajua maandishi yako yanazidi kuthibitisha kuwa nyie ni sukuma gang mnaoendeshwa kwa chuki na uzandiki tu dhidi ya JK na Makamba na hamna hoja yeyote ya msingi
 
Jk na makamba ni kidole na pete, thats the chain.

Huwezi watengenisha hawa kwenye michongo ya kuhujumu Taifa.
Kumbe unamshambulia MAKAMBA kwa kupata kuwa karibu na mh.Kikwete katika kazi yake ya "SPEECH WRITING"?!!!😳🤣🤣

Sawa sasa nimekupata kuwa uko katika genge la CHUKI na kuchafua NYOTA ZA WATU.......
 
Umejibu karibu comments zote zinazomkosoa January
Sio bure, hakuna kazi ya bure duniani. Naelewa
Lazima nitajibu kuwaumbua nyie wapuuzi mnaoendeshwa na chuki, wivu, uzandiki na roho mbaya

Kama hamna la kuongea au kuandika humu ni vizuri mkatulia mkakaa kimya
 
Back
Top Bottom