Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

Hizi pesa za silaha za vita palestina israel hezbollah zinatokea wapi jamani aisee

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nikijaribu kuangalia Sudan
Wanavyomalizana

Congo wanavyomalizana

Ethiopia wanavyomalizia

Kule Chad nako wameanza kumalizana

Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia

Nirejee Israel vs Palestine gaza na sasa vs Lebanon na wa hesbollah

Nawaza ty hizi silaah zote zinatokea wapi

Nn malengoyaooo??na je gizi vita zinaisha lini??nimeangalia maiti za watoto leo Lebanon aisee

Mungu naomba ingilia kati tupe aman Mungu Baba ahsante kwa kusikia maombi yako

Angalia ilemiili ya watoto kwenye hizi vita utupe amani ya kudumu

Amen...
 
Anayetengeneza silaha asipouza silaha atatafuta silaha ya kuwaleta wateja wa silaha
 
Many More Will Have to Suffer Don't Ask Me Why? It's a Natural Mystic Blowing through the Air---Bob Marley
 
Back
Top Bottom