Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutana na kaka mmoja ofisi nyeti kabisa kapiga suti safi na kidoleni Ana dude kubwa la hivyo lina rangi ya kijani sjui blue nikasema hee! Kumbe na huku waposidhani mwenye elimu na kujiheshimu wanavaa hayo madude/uchafu
Alafu kuna dini baadhi ya waumini wake wanayapenda kweli kweli 😁
Epuka kuvaa pete, hata ya ndoa!
Naomba elimu bwashee...Point of contact kati ya viumbe na wanadamu
Vp, mkuu zina matokeo mazuri kwako?Ni Pete za nyota,hazina uchawi wowote.
Mimi nyota yangu samaki,navaa Aquamarine na Red blood stone,zinahusishwa na Bahati na kibali machoni pa watu.
Kwa hiyo avatar yako mbona unaonekana na ww ni wa nguvu za giza?Mapete ya kichawi hayo. .. Kuna dini moja inaentertain sana uvaaji wa hizi mambo, lakini sishangai sana kwa sababu mambo yao yako karibu sana na nguvu za giza.
Pete za majiniHizo ni hirizi, si mapambo na urembo, ni ushirikina mtupu
Majini matakatifuKabla ya kuangalia Pete angalia Kwanza Ile kofia kichwani utapata picha....wazee wa kufuga majini haooo
Majini ni machafu hakuna na haitatokea jini likawa takatifuMajini matakatifu