Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Wewe jamaa ni mjinga sana,laiti kama ungejua jinsi ccm ilivyoshinda uchaguzi huu kwa kufoji na kwa nguvu plus hujuma na rafu kibao usingeleta uchuro wako hapa.Kuna mzee mmoja mwanaccm ktk Kata fulani, wilaya x kule Kagera,alinipigia simu na kukiri kuwa walifanya hujuma za kiwango cha lami wakati wa uchaguzi,na akasema anataka kwenda kutubu Kanisani maana inamuuma sana km mcha Mungu,halafu wewe ndo unatuletea uharo mweusi hapa.Acha kushangilia uovu maana Mungu hapendi.
 
Mkuu ili uonekane mjanja JF kuwa kama ndondocha kupinga pinga kila kitu.

Huku watu wana mawazo huru, kama umezoea kuangalia TBC1 ama channel 10, huku hapakufai, utapata pressure bure. Huku zile propaganda mnalisha waliolala hazina nafasi.
 
Sasa kwa huo ujinga wako unatemegea uulizwe swali gani?
Nafikiri kama wewe una akili, usingelidanywa kuwa Lissu anahutubia Bunge la Eu au keshu Bunge la EU litajidili hali ya siasa Tanzania.
 
I know huku ni sehemu ya watu wasiotaka kupingwa wala kuambiwa nyeupe ni nyeupe wanataka nyeupe iwe nyeusi
Huku watu wana mawazo huru, kama umezoea kuangalia TBC1 ama channel 10, huku hapakufai, utapata pressure bure. Huku zile propaganda mnalisha waliolala hazina nafasi.
 
Ameshindwa nani ?!. Huyo mtu wako anauweza ushindani ?!. HAUWEZI
Mimi kusikitishwa na propaganda za kipuuzi ndio JPM ni mtu wangu? Ushindani anaoufanya JPM ni kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Waongo awajamaa,uzuri nikwamba watu washawapuuza ndo maana hata maandamano yao watu waliyagomea.
awanajipya kazi ni uongo sana.
 
Sasa kama unajua filamu ya uchaguzi imeshaisha na serikali yako inachapa kazi wewe kinakuuma ni hao wengine wakijadili wanachokiona wao. wajadili wasijadili wewe kinachokuwasha ni nini.Wasiwasi wako ni nini hasa au hujiamini kwa ujinga uliofanyika. Fanya yako na wao wafanye yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…