Nyakyegi Wazigizigi
Member
- Jun 8, 2021
- 31
- 43
Uliasisiwa kwa staili ya mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti,kwa sasa unaboa.Hata kuchora mapicha ya Mgeni rasmi wakati atakuja namtamuona ni ushamba na upotevu wa rasilimali
Kwa kweli picha za rais anapofanya ziara ndani ya nchi yake mwenyewe haina maana mbali na utumiaji mbovu wa pesa. Sote tunamjua!
Ni sawa na mtu atokapo au audipo nyumbani kwake, familia yake ina-printi na kubandika picha zake kila pahali nyumbani kwake!!!