Nyakyegi Wazigizigi
Member
- Jun 8, 2021
- 31
- 43
Uliasisiwa kwa staili ya mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti,kwa sasa unaboa.Hata kuchora mapicha ya Mgeni rasmi wakati atakuja namtamuona ni ushamba na upotevu wa rasilimali
Wanaishia kuunga mkono hoja 100% kwa 100%Mbaya zaidi mwishoni muda unakuwa hauwatoshi.
Bado narudia tena. Wananchi tumelala mno na watawala wanatudharau mno. Ndiyo maana wanakumbu kutajana wao kwani wanajua mtandao wao ni muhimu bila kujali kuwa wanatekeleza malengo au la. Wanajua wenye nguvu ya kuwaweka au kuwapa vyeo ni viongozi wenzao. Wannachi tungekuwa na umoja na kila anayeleta uzembe tunamvurumisha, na wakileta mapolisi wao tunawaonyesha cha mtema kuni wasingekuwa na muda wa kutumia masaa kutajana na kutambuana.Ukimuona mtu hazingatii mda huyo ni mjinga ndio wale Nyerere alikuwa anawatukana sana
Unataja majina ili iweje wakati wako wote hapo
Kwanza kiongozi kachelewa masaa kibao majitu nayo yamekaa tu eti sijala tangu asubuhi
Ulilazimishwa?
Hamna lolote zaidi ya politics tuHivi huwa wanakagua nini?!!
Uko sahihi haya maswala ya kukusanyana kuanzia asubuhi mpaka muda hule hakuna ulichoingiza .......ni ulemavu wa akiliHalafu huu utaratibu wa kukusanyana uwanjani naona kama vile umepitwa na wakati.
Hatuba ingesomwa ikulu mbele ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi na ingekua live kwa anayetaka kuangalia.
Wengine waendelee na mambo yao.