Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Jibu halijajibiwa..hiyo ndege ya waitaliano iliyokuwa inachukua hiyo sinema ilikaa angani masiku mangapi hadi kuonyesha matukio mawili ya watu wakikimbia na huku nyuma wakiacha makabuli?.
Fujo zidumu masaa manane ndani ya masaa manane watu wakimbie huku wakichimba makabuli na kuzikana, kweli?.

Mkuu unabisha tukio amabalo lipo wazi? hiyo video ni ya kweli na haina shaka kabisa, inapatikanwa kwenye Documentry ya Africa Addio
 
Mapinduzi gani watu wasife??

Unafikiri ni mchezo wa karata?.. Revolution siyo jmbo dogo . Ni kichapo cha nguvu na kinaarndana na kukunyima muda wa kupumua.

Hapo hapana Revolution ni Invasion , Uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar , na ndio ukaona mpaka leo Tanganyika haikubali kiongozi yeyote aliyechaguiliwa kutoka upinzani ashinde
 
Umeandika upuuzi

Kwako wewe ambaye hujapoteza kitu , ni mzigo wa mwenzako , kwako ni ganda la usufi

1673792859374.png

Hawa ni Wazanzibari wenye asili ya GOA Ambao Walidhulumiwa kwa Kuuliwa Wakati wanatoka Kanisani Misa ya alfajiri siku ya Jumapili tarehe 12.1.1964 Wanamapinduzi Waliwauwa kwa Risasi njiani hawakiwahi kurudi Majumbani Mwao.
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tu
 
Hapo hapana Revolution ni Invasion , Uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar , na ndio ukaona mpaka leo Tanganyika haikubali kiongozi yeyote aliyechaguiliwa kutoka upinzani ashinde

Pole sana,mnataka kuharibu muungano
 
wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tu

Bora wakae watulie tu wawe wapole,vinginevyo kila uchaguzi mtakua mnakuka mnnalialia tu.
 
wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tu
Na Kina Mbowe tulioambiwa ni gaidi na yule aliyepigwa risasi kwenye viwanja vya Bunge na wale waliookotwa coco beach, Chama chao ni dini gani na kiongozi wao ni mtume gani?
 
Labda walizikwa na waliowaua,inadaiwa waliuawa watu 13,000...fikiria idadi ya watu zenji kipindi hicho Kisha uue watu 13 elfu
kwni mauji ya urusi na ukereine unadhani nani aezika mizoga hiyo?
 
Sasa ushasikia mapinduzi unatarajia kubembelezwa hapo ni mwendo wa shaba tu. Tena bahati yao sikuwepo wangejuta kukutana na hiki kiumbe
 
Kiweke hapa
Anza hapa

Back
Top Bottom