Jibu halijajibiwa..hiyo ndege ya waitaliano iliyokuwa inachukua hiyo sinema ilikaa angani masiku mangapi hadi kuonyesha matukio mawili ya watu wakikimbia na huku nyuma wakiacha makabuli?.
Fujo zidumu masaa manane ndani ya masaa manane watu wakimbie huku wakichimba makabuli na kuzikana, kweli?.
Mapinduzi gani watu wasife??
Unafikiri ni mchezo wa karata?.. Revolution siyo jmbo dogo . Ni kichapo cha nguvu na kinaarndana na kukunyima muda wa kupumua.
Umeandika upuuzi
Video hii ni fake!. Karibu na mitaa hii Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1
Na hii Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
P
wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tuWengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.
Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.
Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.
Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.
Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!
Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?
Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.
Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:
View attachment 2481240
Hapo hapana Revolution ni Invasion , Uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar , na ndio ukaona mpaka leo Tanganyika haikubali kiongozi yeyote aliyechaguiliwa kutoka upinzani ashinde
hapo unashangaa nini? ursi awzikani?Watu wakiwa wanakimbia for theirs lives walipata wapi muda wa kuzikana kwa muda huo hadi kwenye hiyo sinema yaonekane makabuli?.
wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tu
Na karma haitowaacha itawatafuna tuBora wakae watulie tu wawe wapole,vinginevyo kila uchaguzi mtakua mnakuka mnnalialia tu.
hapo unauliza swali au unashangaaMkuu inawezekanaje mapinduzi siku hiyo hiyo na makaburi pia!?
mbona kama umesoma[emoji13][emoji13] au shule ajakusaidia?Hivi 1964 kulikuwa na colored video!!? I'm just wondering!!
Na Kina Mbowe tulioambiwa ni gaidi na yule aliyepigwa risasi kwenye viwanja vya Bunge na wale waliookotwa coco beach, Chama chao ni dini gani na kiongozi wao ni mtume gani?wazanzibar kilicho wakuta kilipaswa kuwakuta sababu ni wajinga wazanzibar wote ni waisilamu alafu wanajiingiza kwenye mambo yasio wahusu hivio hivio tangu aanze kugombea seifu kila uchaguzi watu wanakufa na kuvunjwa miguu hata uchaguzi ulio pita pia watu walikufa hamkomi muisilamu chama chake ni dini yake kiongozi wake ni mtume usipo balika kila uchaguzi mtaumizwa tu
kwni mauji ya urusi na ukereine unadhani nani aezika mizoga hiyo?Labda walizikwa na waliowaua,inadaiwa waliuawa watu 13,000...fikiria idadi ya watu zenji kipindi hicho Kisha uue watu 13 elfu
Kiweke hapaSijajua mimi niko na soft copy tu... Kinaitwa Zanzibar kinyang'anyiro na utumwa.
Anza hapaKiweke hapa
Ikiwa huoni cha kushangaza katika huu uzi Nyamaza.hapo unashangaa nini? ursi awzikani?
Kuwa na adabu na utu,watu siyo mizogakwni mauji ya urusi na ukereine unadhani nani aezika mizoga hiyo?