Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana.

Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya
1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada ya dakika ishirini abiria wote walikuwa wamelala wanakoroma, na hata huko barabarani amani hamna.

2. Katika hizo safari, moja nilichelewa basi kwakuwa nilipitiwa na Usingizi, hata hizo nilizowahi Kuna watu pia walichelewa au kupitiliza, ukiuliza Kila mtu atakuambia ilivyongumu kuamka muda ule na hata ukiamka utakuwa na rundo la usingizi.

3. Mienendo ni mikubwa Kwa madereva, ambao sijui hata kama Wamemaliza usingizi wote, chumba ni kinapea kuliko safari za mchana.

Sasa wadau, serikali iangalie hii ya misafari ya usiku ni hatari, hasa ukiangalia umebeba abiria, Bora miroli ndo itembee usiku.

Hizi Safari hazina tofauti na safari za utalii wa meli za titanic huko chini ya bahati oceanic gate
Amani inapotea vipi,huko nje na wewe umelala kwenye basi unakoroma?
Kama kutokea ajari hata mchana kweupe zinatokea,swala LA kusafiri inabidi liwe masaa24!
Hapa dar tu, watu wanaamka saa 9 kila siku kuwahi kazini,
Kusafiri usiku hakuna shida, taratibu nzuri ziwekwe tu,
 
Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana.

Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya
1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada ya dakika ishirini abiria wote walikuwa wamelala wanakoroma, na hata huko barabarani amani hamna.

2. Katika hizo safari, moja nilichelewa basi kwakuwa nilipitiwa na Usingizi, hata hizo nilizowahi Kuna watu pia walichelewa au kupitiliza, ukiuliza Kila mtu atakuambia ilivyongumu kuamka muda ule na hata ukiamka utakuwa na rundo la usingizi.

3. Mienendo ni mikubwa Kwa madereva, ambao sijui hata kama Wamemaliza usingizi wote, chumba ni kinapea kuliko safari za mchana.

Sasa wadau, serikali iangalie hii ya misafari ya usiku ni hatari, hasa ukiangalia umebeba abiria, Bora miroli ndo itembee usiku.

Hizi Safari hazina tofauti na safari za utalii wa meli za titanic huko chini ya bahati oceanic gate
Watanzania wenye akili ndogo kama nyie Ndio maadui wakubwa wa maendeleo
Unajitokeza Kwa Wanaume kuongelea habari za usingizi Ni aibu kubwa kuchangia utopolo huku
 
H
Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana.

Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara tatu na haya mabasi ya saa Tisa yaliyotokokea ni haya
1. Safari ya Kwanza tulivyopanda tu gari, baada ya dakika ishirini abiria wote walikuwa wamelala wanakoroma, na hata huko barabarani amani hamna.

2. Katika hizo safari, moja nilichelewa basi kwakuwa nilipitiwa na Usingizi, hata hizo nilizowahi Kuna watu pia walichelewa au kupitiliza, ukiuliza Kila mtu atakuambia ilivyongumu kuamka muda ule na hata ukiamka utakuwa na rundo la usingizi.

3. Mienendo ni mikubwa Kwa madereva, ambao sijui hata kama Wamemaliza usingizi wote, chumba ni kinapea kuliko safari za mchana.

Sasa wadau, serikali iangalie hii ya misafari ya usiku ni hatari, hasa ukiangalia umebeba abiria, Bora miroli ndo itembee usiku.

Hizi Safari hazina tofauti na safari za utalii wa meli za titanic huko chini ya bahati oceanic gate
Hivi una akili kweli? Kuchelewa ni uzembe wako mwenyewe.
Eti baada ya nini sijui abiria wote walikuwa wamelala. Ulijuaje wote wamelala wakati ulilala?
Acha upuuzi weye.
Mwisho. Improve your handwriting please!
 
Back
Top Bottom