Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

Tajiri wa Kigamboni weka picha
Wabeba box hatuzijui.
Hizi Mshana Jr aliziweka kwenye uzi

 
Mkuu kuna picha tatu hapo,
Yenyewe ni ipi?
 
Weka sumaku ndo utajua zote zimetenngenezwa Chanika
Tangia zamani Shilingi 200/= haikamati sumaku mkuu,
Pamoja na Hilo ila hizi za Sasa hakika zinatengenezwa Chanika Kidugalo, uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…