Ila wale wachina walishakatazwa kutumia mia mbili mia mbili sasa hivi wanatumia token
Basi afadhali aisee, maana zilikuwa zinaadimika sababu ya hao wachina. š
Vile vimashine vyao vya kamari, vinabeba sarafu nyingi sana mle ndani.
Ila wale wachina walishakatazwa kutumia mia mbili mia mbili sasa hivi wanatumia token
Mada haijaongelea mzigo feki lakiniMada hujasoma kule juu!!!! Kuna mzigo feki mtaani na unakuwa kama picha uliyonionyesha nani nimezishuhudia.
Sasa iweje bank zinaupokea??
Mia mbili zenye thamani ya laki 5 šBasi afadhali aisee, maana zilikuwa zinaadimika sababu ya hao wachina. š
Vile vimashine vyao vya kamari, vinabeba sarafu nyingi sana mle ndani.
Mia mbili zenye thamani ya laki 5 š
Basi nimechanganya mafailiMada haijaongelea mzigo feki lakini
Ulimi šKweli hili ni bati dadeqqq!
Sawa DadaBasi nimechanganya mafaili
Basi nimechanganya mafaili
Si lunch tu,, naumwaSoma tena bimkubwa, leo vipi?
Au hujapiga lunch? š
Si lunch tu,, naumwa
Matibabu nimepata na naendelea vizuri.Pole sana, cheki utaratibu wa tiba.
Matibabu nimepata na naendelea vizuri.
Hizi za sasa ukitembea na sumaku zinakufata uendapoTangia zamani Shilingi 200/= haikamati sumaku mkuu,
Pamoja na Hilo ila hizi za Sasa hakika zinatengenezwa Chanika Kidugalo, uko sahihi.
Kwa mfano imefanywa kulia kama kopo, je imepungua uwezo wake wa kununua bidhaa za thamani hiyo?Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.
Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika?
Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni dili la nani hili?
Unamaanisha hata mada yako uliyoileta mwenyewe huijui? au umesahau? š šUko sawa mkuu mada nimeiketa Kwa maana kwamba Kuna mzigo feki uko mtaani.
Foffana ndiye anachanganya mafaili š¤£
Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.Unamaanisha hata mada yako uliyoileta mwenyewe huijui? au umesahau? š š
Ile ya mshana ndo imeongelea mzigo feki wewe mada yako haikuongelea hilo
Material kupunguzwa haimaanishi kuwa ni mzigo feki unataka kulazimisha ulichokifikiria kichwani na mwengine afikirie hivyo hivyo ili hali ulichoandika ni tofautiSamahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.
Umeona hapo nikipokazia mkuu ni kama natilia shaka huenda Kuna mzigo feki, au Kuna uchakachuaji Fulani
Tuko pamoja mkuu hakuna shida kabisaMaterial kupunguzwa haimaanishi kuwa ni mzigo feki unataka kulazimisha ulichokifikiria kichwani na mwengine afikirie hivyo hivyo ili hali ulichoandika ni tofauti
Hata zile 500 za sarafu zilizoanza kutoka pale mwanzoni ni tofauti kabisa na za sasa kumaanisha kwamba kuna material yamepunguzwa lakini bado sio feki