Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ya kati kakaMkuu kuna picha tatu hapo,
Yenyewe ni ipi?
Ya kati kakaMkuu kuna picha tatu hapo,
Yenyewe ni ipi?
Ww si umemuona mama haeleweki hata kutoa hotuba anajichanganya tu, Acha nchi ipigwe maana inajiendesha yenyewe.🤣 Acha zako basi mkuu 🤣
Na hatuna wa kumwambia achukue hatua.Hiyo kufutika ni kweli kabisa
kama zinafanya manunuzi tuzitumie tu. Tuendelee kufatilia Lissu ataishia wapi.Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.
Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika?
Pia soma:Sarafu bandia za 200 ni dili la nani hili?
Urefu wa kambaHakika zimeenea sana mkuu. Na hakuna anayejali
Si nyepesi tu bali zinabonyea na kufutika maandishi. Unaletewa sarafu Haina picha wala maandishi
Umepatia kabisa,, najiuliza kwa Nini bank wanazipokeaView attachment 3569917
Kama hii 😁😁😁
Benki lazima wazipokee ili wazirekebishe zirudi tena katika mzungukoUmepatia kabisa,, najiuliza kwa Nini bank wanazipokea
Mkuu ngoja wanakuja wataalamu wakupe majibu ya kitaalamu ila majibu yangu Kwa ufupi nakupa mfano huu.Hivi fedha feki inaathiri vipi mfumo wa uchumi wa ndani ya nchi ikiwa
80% ya watumiaji wake hawana elimu na uelewa wa fedha feki
Mzunguko wako ni wa ndani ya nchi pekee
Ikiwa haitumiki kwenye manunuzi ya nje ya nchi
Wataalamu wa uchumi tusaidieni
Hii Sasa imezidi 😂View attachment 3569917
Kama hii 😁😁😁
Kumbe sina elimu?! Na zile za noti je???? Na kwa Nini wakamate watengenezaji ilihali bank Wana uwezo wa kurekebisha??Benki lazima wazipokee ili wazirekebishe zirudi tena katika mzunguko
Amani ni bora kuliko sarafu ya mia mbili mahiNa hatuna wa kumwambia achukue hatua.
Kumbe umemaanisha fedha feki? nilijua unaongelea fedha chakavuKumbe sina elimu?! Na zile za noti je???? Na kwa Nini wakamate watengenezaji ilihali bank Wana uwezo wa kurekebisha??
Mada hujasoma kule juu!!!! Kuna mzigo feki mtaani na unakuwa kama picha uliyonionyesha nani nimezishuhudia.Kumbe umemaanisha fedha feki? nilijua unaongelea fedha chakavu
Ila wale wachina walishakatazwa kutumia mia mbili mia mbili sasa hivi wanatumia tokenSasa wazee, shilingi hizo ndio wachina wanaziingiza kwenye vimashine vyao vile vya kamari, vinapigika humo ndani wee. Ndo visifutike maandishi.
Mimi nimewahi shuhudia mchina ana ndoo tatu kubwa zimejaa mia mbili, mia mbili.😁
Nje ya mada: Mpaka huyu mama atoke 2030, mia mbili, mia mbili hazitakuwepo kwenye mzunguko. Sarafu itaanzia jero, 500/=. 😁