Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

Kuna jelo jelo pia, hata muundo wake ukiiona utakushtua. Hizi bila shaka ni feki.

Hizi sasa zinatembea kwenye mzunguko bila watu kushtuka, japo nahisi hata anaeshtuka nae anatumia bila anaepokea kushtuka, na hata akishtuka nae anaitumia tu kawaida bila wasiwasi
 
Kuna jamaa wamesema kama zinatumika tu fresh, iwe feki au halisi. Lakini binafsi naona Kuna shida
 
Kuna jamaa wamesema kama zinatumika tu fresh, iwe feki au halisi. Lakini binafsi naona Kuna shida
Shida lazima iwepo, sina elimu na mambo ya uchumi ila naamini hili lazima lilete shida kiuchumi
 
Ukiona hivyo ujue uchumi umeshuka mazee,ilianza mia imepotea kabisa yaani Sasa hivi sh 100 haipo kwenye mzunguko,afu inafuata 200.pesa madafu sasa hivi haina thamani na kadri hawa vilaza walioshika hatamu kiharamu wakiendelea kuongoza ndio shilingi itashuka thamani zaidi.Uchumi wetu ume stack Kwa kuongozwa na vilaza wanaong'ang'ania madaraka.Usishangae miaka miwili ijayo sh 1000 utakuwa hununui hata mo energy inayouzwa tsh 500 Sasa hivi😭😭
 
Back
Top Bottom