Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

Hivi fedha feki inaathiri vipi mfumo wa uchumi wa ndani ya nchi ikiwa

80% ya watumiaji wake hawana elimu na uelewa wa fedha feki

Mzunguko wako ni wa ndani ya nchi pekee

Ikiwa haitumiki kwenye manunuzi ya nje ya nchi

Wataalamu wa uchumi tusaidieni
 
kama zinafanya manunuzi tuzitumie tu. Tuendelee kufatilia Lissu ataishia wapi.
 
Hivi fedha feki inaathiri vipi mfumo wa uchumi wa ndani ya nchi ikiwa

80% ya watumiaji wake hawana elimu na uelewa wa fedha feki

Mzunguko wako ni wa ndani ya nchi pekee

Ikiwa haitumiki kwenye manunuzi ya nje ya nchi

Wataalamu wa uchumi tusaidieni
Mkuu ngoja wanakuja wataalamu wakupe majibu ya kitaalamu ila majibu yangu Kwa ufupi nakupa mfano huu.
Hvi mafisadi wanaathiri vipi uchumi wa nchi wakati ufisadi unafanyika ndani ya nchi na wananchi wengi hawaelewi ufisadi ni nini
 
Sasa wazee, shilingi hizo ndio wachina wanaziingiza kwenye vimashine vyao vile vya kamari, vinapigika humo ndani wee. Ndo visifutike maandishi.

Mimi nimewahi shuhudia mchina ana ndoo tatu kubwa zimejaa mia mbili, mia mbili.😁

Nje ya mada: Mpaka huyu mama atoke 2030, mia mbili, mia mbili hazitakuwepo kwenye mzunguko. Sarafu itaanzia jero, 500/=. 😁
 
Kumbe umemaanisha fedha feki? nilijua unaongelea fedha chakavu
Mada hujasoma kule juu!!!! Kuna mzigo feki mtaani na unakuwa kama picha uliyonionyesha nani nimezishuhudia.
Sasa iweje bank zinaupokea??
 
Ila wale wachina walishakatazwa kutumia mia mbili mia mbili sasa hivi wanatumia token
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…