Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

Kwanini usiwarudie kuwapa makavu

Ova
 
Samahani chief, hiso f62 kwa bongo bei inaendaje?

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Hata iphone zipo ivo pia...nimeona kesi kadhaa za iphone X
 
Hii simu niliona watu wengi wanailalamikia ilikua ina bugs nyingi baada ya Android 12 update sijui kama wameshasolve.
 
Sorry mkuu flagship ina maana gani?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

Hizi iphone zimewaelekea wanawake tu, kwa mwanaume kutumia iphone ni kujiaibisha tu.. kwa samsung jinsia zote zinaenda..

kitu samsung bwana, brand kubwa. Sema kuna wachache wanaharibu jina la samsung ionekane feki.
 
China plaza ipi hyo...mbona hakuna duka linaloitwa hvyo...alafu hyo bei ata used korea hupati
 
Sure.

Hii model ya second hand naona kama iphone anaiweza sana. Ni rahisi sana kununua iphone nzuri kuliko samsung.

Binafsi naona inatokana na nature ya wateja. Mteja wa iphone mara nyingi utakuta anauza simu ili kwendana na wakati, lakini hizi simu nyingine sanasana inauzwa kukiwa na tatizo.
 
China plaza ipi hyo...mbona hakuna duka linaloitwa hvyo...alafu hyo bei ata used korea hupati
CHINA PLAZA kama unatoka soko la mitumba karume unaelekea kariakoo ni jengo kubwa lipo mkono wa kushoto kabla hujavuka mataa ya kituo cha daladala kongo
 
CHINA PLAZA kama unatoka soko la mitumba karume unaelekea kariakoo ni jengo kubwa lipo mkono wa kushoto kabla hujavuka mataa ya kituo cha daladala kongo
Kama ni hilo sidhani kama wapo humo...ingekuwa infinix au tecno sawa
 
Mimi natumia note edge ni refurbished nimenunua toka 2017 mwezi wa 12 mpka sasa naitumia ila imeanza kuleta shida kiidog saivi lakn nimetumia sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Flagahip kwenye simu inamaanisha simu nzuri zaidi ya kampuni iliozinduliwa ndani ya muda fulani. Nzuri kuanzia Camera, processor, display na vitu vyengine vinavyotengeneza simu.
Mkuu,

Binafsi sina uelewa sana na simu, lakini nataka ni-opt kati ya A33 &S21 ( Naziona siyo nzito, na shape siyo kubwa).

Kati ya hizi simu mbili kwa uelewa wako ipi inaweza kuwa na value for money ( Sina preference na magemu wala video), sanasana ni mpenzi wa kusoma vitabu na internet.
 
Refurb ni lazima iwe na tatizo isingekua na tatizo isingeitwa refurb, sema tu sometime unaweza bahatisha refurb nzuri bila mwenyewe kujijua.

Hapo hapo China plaza niliwahi msindikiza mtu kununua iphone, imechezewa balaa haipokei updates, safari haingii internet etc. Mpaka utumie 3rd party apps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…