Mkuu kuna duka moja la samsung Mlimani city wana mchezo mchafu.
Mbaya zaidi siku waliyotaka kuniletea alikuwepo dada wa Samsung yeye ndo alinikabidhi simu na kujifanya ananihudumia.
Nilishtuka nikakiwasha.
Wakanirudishia pesa yangu on spot.
Hapo hapo Mlimani kuna duka kubwa sana la Samsung wanauza mitelevisions mikubwa na mifriji.
Ndo duka kubwa pekee la samsung.
Nilinunua pale simu.
Simu nikaidondosha.
Ilikuwa ndani ya warranty.
Nikarudi pale nipate maelezo wapi nipeleke nikatengenezewe.
Nilisikitika sana yule yule dada kibonge mweusi aliyeniuzia simu akanijibu kwa fedhuli na kusema kioo hakiko kwenye warranty inabidi ninunue kioo laki 3 na point, akawa anasema anipe no ya fundi wake...
Tukashindwa kuelewana nikaondoka.
Bahati nzuri nikaenda duka jingine la samsung kuna mama wa kihindi akanipa maelezo na namba ya za watu wa J mall.
Nikaenda.
Wakaona tatizo.
Kioo walikuwa hawana, wakaagiza.
Nikatengenezewa simu bure kabisa japo ilichukua wiki 2.
Na hadi leo simu inadunda.
Tunapenda kununua vitu Mlimani sababu tunapata vitu reliable, durability no fake zone tunaimani tunapata after sales customer care nzuri.
Lakini kwa experiences hizo mbili nilizokutana nazob upande wa simu ni bora nirudi Sapna.
Kwan hawakukupa warranty? Warranty ilikuwa inasemaje? Samsung sasa hv ukinunua simu zao kuna limited warranty wanatoa. Mfano-A13, A33 and etc.
Aina hizi za simu Ukipasua kioo ndani ya mwaka mmoja unapaswa kulipia 48'000 wanakusaidia ku-replace. Replacement ya vioo vya A70 na S, N,Z series bei inaongezeka kidogo.
Kuna series za samsung kioo hakiko covered na s+ warranty, na mteja akikipasua from day one imekula kwake.
Hii limited warranty ina ukomo wake- ukipasua zaidi ya mara moja pia haiwahusu au kioo kikipata damage zaidi ya mwaka hawahusiki.
Point ya mjadala hapa ilikuwa centered kwenye mteja kuuziwa simu fake or used, na kwendana na maelezo yako ni kwamba hauku-despute ubora wa simu yenyewe, bali issue ya warranty kutokana na damage uliyoisababisha on your end.
What I don't get, ni kwann dealer alikataa kukusaidia kama warranty ilikuwa inakuruhusu kufanya replacement ya kioo kwa gharama ambazo si zake?
And let's make no mistake, kubadilishiwa kioo bure kutokana na damage uliyoisababisha wewe kama mteja it's a favor, and not a right, inategemea na individual discretion ya dealer mwenyewe as we all know (business don't run on favors).
The most interesting part ni pale wewe ungeamua ku-escalate issue yako based on genuine reasons (supported by legal clauses on the warranty) kwa mall owners wenyewe kuhusiana na dispute yako, lazima ungepata solution.
By all standards, mlimani city mall is always the best.