Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Biringanya mbona umelisahau godoro sio godoro ,boksi sio boksi ,ukilitafuna domo zima linajaa mimaji.Sitaki hata kuliona mbele ya macho yangu hata lipikwe na mpishi mkuu wa mama Kizimkazi na Paje.
 
Profesa Janabi ikiona huu uzi lazima asitishe mfungo akafanye press.

Tutatukanwa sana.
 
Mboga nisiyopenda ni mlenda kwakweli sijawahi kupenda mlenda japo nikikuta ugenini ndo mboga iliyoandaliwa huwa nagusa kiaina nisionekane nachagua msosi ila bamia napenda ikiwa imepikwa nzima nzima
Mboga ina kiherehere hii, hujatafuna tonge lishashuka.
 
Kuna hayo majani ya kunde na michunga.

Majani ya kunde yalinishinda kabisa.

Hiyo michunga nimekuja kujua juzi kuwa nayo ni mboga, miaka yote nilikuqa nikijua kuwa michunga ni majani ya sungura
 
Watu wanalishwa mihadarati
 
Kuna hayo majani ya kunde na michunga.

Majani ya kunde yalinishinda kabisa.

Hiyo michunga nimekuja kujua juzi kuwa nayo ni mboga, miaka yote nilikuqa nikijua kuwa michunga ni majani ya sungura
Chakula ya sungura na akila anakoja mkojo una rangi tena unakua dawa ya kuua wadudu waharibifu wa mazao
 
Kuna hayo majani ya kunde na michunga.

Majani ya kunde yalinishinda kabisa.

Hiyo michunga nimekuja kujua juzi kuwa nayo ni mboga, miaka yote nilikuqa nikijua kuwa michunga ni majani ya sungura
Daah mm leo ndio nimejua kuwa mboga safi ya mchunga ni chakula cha sungura.

Asee sungura wananisamehe sana. Nimeacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…