kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
- #21
Kuna kozi online. Hata za youtube tu zinatosha kukufikisha unapotakaNi wapi naweza kusoma advanced excel.... nataka niwe guru wa hii kitu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kozi online. Hata za youtube tu zinatosha kukufikisha unapotakaNi wapi naweza kusoma advanced excel.... nataka niwe guru wa hii kitu!!
Sure mkuu. Mfano mzr ni hii Sensa. Hamna kitu mle.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Changamoto sio wataalamu, changamoto ni motivation.
Hizo hata ukimaster nani atatumia Data-driven research yako humu bongo. Kwa ulizotaja hapo ambayo sijamaster ni SPSS tu. R, Excel, Tensorflow etc.... zote nmemaster na nmetumia lkn kila mtu ukimpa proposal yako anapita kushoto .Sometimes unaishia kusoma tu unabaki masikini coz haya mambo yanahitaji time na brainpower kubwa sana
Biashara na hata operations za serikali humu tz hazitumii data-driven researches. Watu wanadhan biashara kubwa kama apple au tesla zinakua kwa bahati lkn mule kuna wachawi wa analysis wanatumia data driven researches kujua wafanye nn watengeneze nn kwa wakati gani.
Issue sio kukosa wataalam, issue ni kukosekana kwa motivation na harnessing ya wataalm waliopo
Sayansi na Teknilojia darasa la sita wana mada ya Excel inaitwa "Programu Jedwali" hivyo tayari ipo kwenye syllabus.Mie nilishangaa kuona mzungu fln hv huwa nafuatilia blog yake kuhusu mambo ya genetics anaitumia, na sio tu kwa kutunza record bali kwa operations zake. Ila sema yeye alikua analalamika kwamba excel inaconvert hizi gene names kuwa date. Mfano kuna gene inaitwa SEPT2, sasa excel ikiona hvo yenyewe inadhan ulikua unataka kuandika trh so inabadili hilo neno kuwa tarh 2 SEPTEMBER.
All in all excel ni program ambayo inabidi iwekwe kwenye syllabus za mashulen, inaweza rahisisha vitu vingi sana
Kwahyo nkitaka real stock kwa mimi small investor nachukulia wapi?BLOOMBERG Terminal inatumiwa na larger financial institutions nikimaanisha banks, hedge funds, ETFs.
Hio ni kwa sababu BLOOMIE inakuunganisha na players wote kwenye market, pia inakupa access ya data zoote unazohitaji ili kufanya speculation zako. Ni ngumu kukuta Solo Investor anatumia bloomie
Hizo MT4 na MT5 unazosemea zinakuunganisha na brokers tu ambao wengi ni market makers. Na pia hizo wanatumia sana retail traders. Pia zinaruhusu mode fln za kutrade ambazo ni maalum kwa small to medium investors. Pia sidhan kama unaweza nunua real stock kupitia mt4 au mt5 Sanasana utaishia kununua hizo stock CFDs na sio real stock.
Ohhh... sikujua hilo mkuu, thanks for update. But is it practical au yale mambo ya kuchora ubaoni?Sayansi na Teknilojia darasa la sita wana mada ya Excel inaitwa "Programu Jedwali" hivyo tayari ipo kwenye syllabus.
Process ndefu kiasi mkuu. Kuna banks na firms wanatoa hizo huduma ila hawachukui wateja kutoka nchini kwetu. Kama una uhitaji sana unaweza tumia proxy, nikimaanisha kama una connection na mtu wa Kenya, US au nchi ilio na access na hizo huduma unaweza pitia kwa huyo.Kwahyo nkitaka real stock kwa mimi small investor nachukulia wapi?
Kumbuka aliingia kwenye game miaka ya 1980 na kiukweli kpnd hicho alikua anauza complete set nikimaanisha computer na software yake na ndipo likatokea jina Bloomberg 'Terminal'. Japo kwa sasa wanasambaza software tu ila neno 'Terminal' limebaki kama historia tuBiashara ya Software ni moja kati ya biashara yenye super normal returns. Michael Bloomberg mwenye hiyo Bloomie ni moja kati ya matajiri wakubwa sana.
I concurI agree. Excel is a programming language in and of itself. Nje huwa kuna mashindano ya excel experts unapewa cheti kabisa. Bloomie is another beast.
Yap...hawa pioneers walijua thamani ya information mapema kuliko kila mtu.Kumbuka aliingia kwenye game miaka ya 1980 na kiukweli kpnd hicho alikua anauza complete set nikimaanisha computer na software yake na ndipo likatokea jina Bloomberg 'Terminal'. Japo kwa sasa wanasambaza software tu ila neno 'Terminal' limebaki kama historia tu
Ubaoni tuu, mm nawafundisha watoto mara moja hata kugusa keyboard tu, lkn wanaoiweza hata kwa hiyo level yao n wachache na wanasahau coz hawana mwendelezo wa mazoeziOhhh... sikujua hilo mkuu, thanks for update. But is it practical au yale mambo ya kuchora ubaoni?
Ofcoz, kutokuwepo kwa mwendelezo wa mazoezi ni changamoto. Lakini ile experience anayoipata mtoto akiwa shulen kwa kuona na kufanya practical part ya somo inaweza excite kitu fln ndani yake na ndio ikawa driving force hioUbaoni tuu, mm nawafundisha watoto mara moja hata kugusa keyboard tu, lkn wanaoiweza hata kwa hiyo level yao n wachache na wanasahau coz hawana mwendelezo wa mazoezi
Nakubali kabisa kuna kozi yake nliidownload aloo mambo ni mengi nilitoka kapa, ila kichwa ikitulia ntajifunza hiyo kitu inaweza kuwa msaada mbeleni kwenye ulimwengu wa kidijitaliYaani matumizi ya Excel tunayoyajua/kuyatumia kila siku Ni labda 0.5% ya uwezo wote wa MS Excel.Lile dude Ni kubwa mno,Lina makorokocho ambayo kiukweli Ni advanced kinyama.
Nilimuona jamaa mmoja mwanajeshi wa US huko YouTube akiitumia ku-calculate hesabu zake za milipuko,nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii