Ha ha ha ha acha utani mkuuYaani matumizi ya Excel tunayoyajua/kuyatumia kila siku Ni labda 0.5% ya uwezo wote wa MS Excel.Lile dude Ni kubwa mno,Lina makorokocho ambayo kiukweli Ni advanced kinyama.
Nilimuona jamaa mmoja mwanajeshi wa US huko YouTube akiitumia ku-calculate hesabu zake za milipuko,nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Sema kitu kimoja nimekubali, ni 0.5% ya tujuayo kuhusu excel.