Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Kuna adobe Photoshop pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta mkuuBLOOMBERG Terminal inatumiwa na larger financial institutions nikimaanisha banks, hedge funds, ETFs.
Hio ni kwa sababu BLOOMIE inakuunganisha na players wote kwenye market, pia inakupa access ya data zoote unazohitaji ili kufanya speculation zako. Ni ngumu kukuta Solo Investor anatumia bloomie
Hizo MT4 na MT5 unazosemea zinakuunganisha na brokers tu ambao wengi ni market makers. Na pia hizo wanatumia sana retail traders. Pia zinaruhusu mode fln za kutrade ambazo ni maalum kwa small to medium investors. Pia sidhan kama unaweza nunua real stock kupitia mt4 au mt5 Sanasana utaishia kununua hizo stock CFDs na sio real stock.
Upo sahihi kabisa, kuna watu ni expert wa excel kabisa..Yaani matumizi ya Excel tunayoyajua/kuyatumia kila siku Ni labda 0.5% ya uwezo wote wa MS Excel.Lile dude Ni kubwa mno,Lina makorokocho ambayo kiukweli Ni advanced kinyama.
Nilimuona jamaa mmoja mwanajeshi wa US huko YouTube akiitumia ku-calculate hesabu zake za milipuko,nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
UCC pale hutojutiaNi wapi naweza kusoma advanced excel.... nataka niwe guru wa hii kitu!!
Kwann unasema kizinga? Ulikuwa unaenda kuwapa software isiyokidhi viwango vya 15m?Hapo kwenye excel kuna jamaa alikuwa anahitaji software kama ya supermarket, ya billing system kwa ajili ya duka lake nikampiga kizinga cha 15 million mpaka kukamilika,Aloo kumbe akaenda kwa wahindi wenyewe wanatumia excel kama inventory system. Nikaumbuka all in all naipa heshima excel.
Kwamba wewe binafsi hukubariani na uwezo uliotukuka wa excel?Kenye bank hizi sijui crdb, kbc, absa, BOT kuna core system wanaitumia imetengenezwa ujerumani aise acheni kabisa. Eti excel
Kuna hii Inaitwa STATA ,ni nzuri sana kwenye analysis.Hello bosses....
Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced.
Kiufupi hizo ni:-
1) BLOOMBERG TERMINAL
2)MICROSOFT EXCEL
3)SAP BUSINESS ONE (B1)
Nitazifafanua kiufupi hapa chini
---> BLOOMBERG TERMINAL
Hii kama hujihusishi na financial markets (At Instutional Level) itakua bado hujaisikia lakini ni moja kati ya software zinazorun dunia hii. Nasema zinarun dunia coz inatumiwa na asilimia kubwa ya Financial Institutions kutrade kwenye Financial markets kuanzia kununua stocks, bonds, options, currencies na financial instruments & derivatives nyngne. Wanaohusika kwenye hii field hupenda kuiita 'BLOOMIE', ilitengenezwa na kuanza kutumika kwenye miaka ya 1980 chini ya Mike Bloomberg na kinachonifurahisha kuhusu hii software ni kwamba ime-maintain 'old-school look' ambayo naweza kuiita 'hacker-like' look. Rangi zake sana sana ni black and orange na mwonekano wake unavutia kwa wanaopenda 'less-bullshit UI'.
Gharama za kutumia hii software kwa mwaka ni USD 25,000 na mabillion ya dollar hupitia kwenye hii software kila mwaka. Toka ianze kutumika 1980s hadi sasa kuna wapinzani wengi wanatengeneza software zao lkn hawajafanikiwa kuipiku BLOOMIE.
---> MICROSOFT EXCEL.
Hii siwezi ongelea sana coz wengi tunaifahamu. Ni kati ya products za Microsoft ambazo nazikubali sana. Tumeona zinakuja spreadsheet software nyingine ila hii ipo on trend miaka nenda miaka rudi. Watu wanasema wahindi wako vzr kwenye biashara lkn deep down wengi wao wanatumia excel, hao hua ni wataalam wa excel. Nilienda kwa jamaa fln kuwapa proposal ya kutumia custom made accounting software lkn wakanionyesha excel setup zao na sikuamini nlichokiona, kuanzia accounting, stock management etc... zote walikua wanafanya kwa excel tu.
---> SAP Business One (B1)
Hii nayo ni kati ya software za zamani sana ambazo hadi leo bado zinatumika. ilitengenezwa mwanzoni kabisa mwa computer Era. Hii software iko complicated na pia ina programming language yake lkn hayo hayazuii watu kuendelea kuitumia. Kazi yake kubwa ni Kufanya Enterprise Resource Planning, software za category hii hujulikana kama ERP software. Kwenye business ndg ndg huwezi kuikuta lkn ukienda kwa Giants kama Alphabet, Meta na silicon valley companies nyingine basi utaikuta. Hata hapa Tanzania nimeona inatumika kwenye baadhi ya makampuni makubwa makubwa ya uzalishaji na usafirishaji.
Zipo nyingine baadhi kama QuickBooks, Microsoft word, etc... lkn hizo zina washindani ambao tyr wanafanya vizuri na miaka michache baadae zinaweza kupotea kama MySpace. Lakin hizo nilizotaja hapo juu zina 'Strong' foundation na 'Loyal' Customer base kiasi kwamba hata kama ni ngumu kutumia au ni nzito bado zitaendelea kuongoza kwenye nyanja zao kwa hiki kizazi
Peace......
~Kali Linux
Inaitwaje?Kenye bank hizi sijui crdb, kbc, absa, BOT kuna core system wanaitumia imetengenezwa ujerumani aise acheni kabisa. Eti excel
I concur.Na mimi naongezea Powerpoint, toka office365 izinduliwe imekuwa Crucial sana kwenye Short Animation. Vitu kama Kinetic typography, lyric video, matangazo tv etc yanafanyika kiurahisi ndani ya power point, huna haja kutumia software zenye learning curve kubwa kama After effect. With right ideas inaweza kukutoa kimaisha
Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia. Sometimes ukiwa unaandika function kwenye excel au logic statements kama IF' hauna tofauti na mtu anaye codeKwamba wewe binafsi hukubariani na uwezo uliotukuka wa excel?
Sikumbuki jina lbd watu wa benki watusaidie. Lakini nakumbua ilikua inaaziwa na A alafu wisho imeishia 'YE' au 'Y'. Yenyewe ni core system ina manage user accounts zoteInaitwaje?
Ndo maana nikasema despite complex nature, uzito au UI kwenye baadhi ya programs nlizotaja watu bado wanazitumia coz zishapata loyal customer base, na hio ndio point hapa.Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia.
Overate unayoizungumzia ni Kwa sababu wamekwisha ona u-smart wake. na kweli ni smart sana katika kazi, mbali ya uwepo wa software zingine.Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia.
Sometimes ukiwa unaandika function kwenye excel au logic statements kama IF' hauna tofauti na mtu anaye code
usisahau unaweza soma mwaka mzima na ukaambulia vichache muhimu chagua unataka kujua nn excel ni nzuri sana ukiijuaYaani ni kweli. By the way nimeanza kujifunza last week.
unajua matumizi ya excel? hiyo mifumo ya bank ni maalumu kwa usalama wa fedha na transaction excel ni mathematic robot inayotatua hesabu na data unazochakata kupata solution sahihiKenye bank hizi sijui crdb, kbc, absa, BOT kuna core system wanaitumia imetengenezwa ujerumani aise acheni kabisa. Eti excel
Hii ilitusaidia sana kipindi tupo chuo mambo ya regression, logit na simultaneous eqn. Econometrics ilikua rahisi sanaKuna hii Inaitwa STATA ,ni nzuri sana kwenye analysis.
Well Said !! (All in all excel ni program ambayo inabidi iwekwe kwenye syllabus za mashulen, inaweza rahisisha vitu vingi sana)All in all excel ni program ambayo inabidi iwekwe kwenye syllabus za mashulen, inaweza rahisisha vitu vingi sana
Mimi ni Mchumi na Mtakwimu.Katika program za kuanalysis data ,STATA naiweka namba moja,ikifuatiwa na SPSS,then Excel.STATA ni rahisi kutumia na kuielewa.Hii ilitusaidia sana kipindi tupo chuo mambo ya regression, logit na simultaneous eqn. Econometrics ilikua rahisi sana