Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

Sure mkuu. Mfano mzr ni hii Sensa. Hamna kitu mle.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 


Kuna vitu nimejifunza kupitia huo uzi [emoji115]
 
Sayansi na Teknilojia darasa la sita wana mada ya Excel inaitwa "Programu Jedwali" hivyo tayari ipo kwenye syllabus.
 
Kwahyo nkitaka real stock kwa mimi small investor nachukulia wapi?
 
Kwahyo nkitaka real stock kwa mimi small investor nachukulia wapi?
Process ndefu kiasi mkuu. Kuna banks na firms wanatoa hizo huduma ila hawachukui wateja kutoka nchini kwetu. Kama una uhitaji sana unaweza tumia proxy, nikimaanisha kama una connection na mtu wa Kenya, US au nchi ilio na access na hizo huduma unaweza pitia kwa huyo.
 
Biashara ya Software ni moja kati ya biashara yenye super normal returns. Michael Bloomberg mwenye hiyo Bloomie ni moja kati ya matajiri wakubwa sana.
Kumbuka aliingia kwenye game miaka ya 1980 na kiukweli kpnd hicho alikua anauza complete set nikimaanisha computer na software yake na ndipo likatokea jina Bloomberg 'Terminal'. Japo kwa sasa wanasambaza software tu ila neno 'Terminal' limebaki kama historia tu
 
Yap...hawa pioneers walijua thamani ya information mapema kuliko kila mtu.
 
Ubaoni tuu, mm nawafundisha watoto mara moja hata kugusa keyboard tu, lkn wanaoiweza hata kwa hiyo level yao n wachache na wanasahau coz hawana mwendelezo wa mazoezi
Ofcoz, kutokuwepo kwa mwendelezo wa mazoezi ni changamoto. Lakini ile experience anayoipata mtoto akiwa shulen kwa kuona na kufanya practical part ya somo inaweza excite kitu fln ndani yake na ndio ikawa driving force hio
 
Nakubali kabisa kuna kozi yake nliidownload aloo mambo ni mengi nilitoka kapa, ila kichwa ikitulia ntajifunza hiyo kitu inaweza kuwa msaada mbeleni kwenye ulimwengu wa kidijitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…