Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

Swadakta mkuu
 
Upo sahihi kabisa, kuna watu ni expert wa excel kabisa..

Sisi tunaishia magazijuto na vigraph vya uongo na ukweli
 
Kwann unasema kizinga? Ulikuwa unaenda kuwapa software isiyokidhi viwango vya 15m?
 
Kenye bank hizi sijui crdb, kbc, absa, BOT kuna core system wanaitumia imetengenezwa ujerumani aise acheni kabisa. Eti excel
 
Kuna hii Inaitwa STATA ,ni nzuri sana kwenye analysis.
 
Na mimi naongezea Powerpoint, toka office365 izinduliwe imekuwa Crucial sana kwenye Short Animation. Vitu kama Kinetic typography, lyric video, matangazo tv etc yanafanyika kiurahisi ndani ya power point, huna haja kutumia software zenye learning curve kubwa kama After effect. With right ideas inaweza kukutoa kimaisha
 
I concur.
 
Kwamba wewe binafsi hukubariani na uwezo uliotukuka wa excel?
Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia. Sometimes ukiwa unaandika function kwenye excel au logic statements kama IF' hauna tofauti na mtu anaye code
Inaitwaje?
Sikumbuki jina lbd watu wa benki watusaidie. Lakini nakumbua ilikua inaaziwa na A alafu wisho imeishia 'YE' au 'Y'. Yenyewe ni core system ina manage user accounts zote
 
Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia.
Ndo maana nikasema despite complex nature, uzito au UI kwenye baadhi ya programs nlizotaja watu bado wanazitumia coz zishapata loyal customer base, na hio ndio point hapa.

Sikatai kuna very smart alternatives za hizo programs zote nlizotaja ila bado zinashindwa kureplace
 
Ipo vizur lkn imekua Overrated sana kwa sabubu watu wengi wanaitumia.
Overate unayoizungumzia ni Kwa sababu wamekwisha ona u-smart wake. na kweli ni smart sana katika kazi, mbali ya uwepo wa software zingine.


Sometimes ukiwa unaandika function kwenye excel au logic statements kama IF' hauna tofauti na mtu anaye code

Yes! Hata mimi pia nijuavyo, Kwa uwelewa wangu, Excel inasimama pia kama sehemu ya programming language. Unapoandika logic na function za Excel ("If", "And", "date format", etc.) Unakuwa kama uko kwenye field ya coding.
 
All in all excel ni program ambayo inabidi iwekwe kwenye syllabus za mashulen, inaweza rahisisha vitu vingi sana
Well Said !! (All in all excel ni program ambayo inabidi iwekwe kwenye syllabus za mashulen, inaweza rahisisha vitu vingi sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…