Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

Ha ha ha ha acha utani mkuu

Sema kitu kimoja nimekubali, ni 0.5% ya tujuayo kuhusu excel.
 
kuna jamaa twitter huwa anaweka masomo ya ms excel, ndio amenifanya niitambue kuwa sio kama navyoifahamu mimi.
 
Inafahamika lkn google ni bora wakomae na search engine business hizo nyingine watajaza tu cemetery yao. Kuna products kibao za google zimefail japo ni very smart products. Excel ishapata traction fln hv kwenye jamii ambayo ni ngumu kubandua
Google sheet ni copy n paste ya excel,ukiijua excel umeijua google sheet ndani nnje na bado kuna vitu hutavipata kwenye google sheet,unaweza kufanya chochote kuhusiana na data kwenye excel,kuna power pivot,dax ect,inshort excel ndio program ya msingi kwenye data analysis.
 
Kila nikiwa natumia excel nabaki tu hiiii huyu mtu aliyetoa hiki kitu ni akili hizi hizi au [emoji91]
Hesabu hii wanayoikimbia madogo huko mashuleni ndiyo imechangia pakubwa kumleta mnyama EXCEL ambae wanakuja kukutana nae kitaa kwenye shughuli zao!

Programmers wa hili dude wanapaswa kuheshimiwa sana.
 
Well answered
 
Unamaanisha kuwa unaweza kuteneza lyric video kwa kutumia power point? Hii ya kwenye Ms office?
 
Unamaanisha kuwa unaweza kuteneza lyric video kwa kutumia power point? Hii ya kwenye Ms office?
Sio tu lyric mpaka simple animation, tena ni very easy. Sema inataka office 365 ama hizi office mpya maana hio feature inaitwa morph si office zote ipo.

Sample ya Animation iliotengenezwa na Morph.


Hio ni advanced kidogo ila inaonesha capability yake,
 
Ok.. basi tunasafari ndefu sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…