Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kwa hiyo mnavyoonaga kuna taa za solar za barabarani unajua ni laki 2? Umaskini ni mbaya sana.kiukweli huo ni wizi
kuweka taa moja kwa million 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mnavyoonaga kuna taa za solar za barabarani unajua ni laki 2? Umaskini ni mbaya sana.kiukweli huo ni wizi
kuweka taa moja kwa million 3
jamani taa 32 kwa ajili ya nje ya ofisi yake tu? basi hizo za milioni 3 achukue 10 kwa ajili ya ofisi yake, hizi za 600,000 achukue taa mia moja afunge mtaa mzima kwa wananchiMdau kajibu hapo juu,hizi ni automatic solar lighting system,solar,sensor,mlingoti,na Kazi zinazohusiana na kusimamisha hizo nguzo.
Mnapopita kwenye miji kwa sasa serikali inatumia taa za hivi na bei zake ndio hizo Kati ya 2.5-3 ..tena hizi ni za bei ya chini zile og zenyewe ziko Kati ya 5-8 kwa taa moja full set
Labda mavi hayatanuka😂😂😂😂
Hahahaaaa.......!Labda mavi hayatanuka😂😂😂😂
Kwahiyo?Controller wa pesa wilayani ni DAS , sio DC
bora umaskini kuliko umaskini wa roho nzuri na ulafi, taa 32 zote zinajaa nje ya ofisi yake nyie mnaona sawa?Kwa hiyo mnavyoonaga kuna taa za solar za barabarani unajua ni laki 2? Umaskini ni mbaya sana.
Taa ya lak 2 kafunge nyumbn kwako, Serikali ina specs zake,kafunge yako ya laki 2 afu na Serikali ifunge za mil.3 afu baada ya mwaka utupe mrejesho.ameongea kana kwamba ni mtaa mzima kumbe ni taa 32 tu nje ya ofisi yake hiyo hata fundi maiko anafanya kazi yeye kaweka process nzima wakati joketi mwenyewe anasema itachukua week 2 tu ukiingia jiji,.com kuna hadi taa za 250,000 tena solar
kwa hiyo taa yake moja ya milioni 3 inanaunua hizo taa 12 roughly anapata taa 300 kwa milioni 100 au tufanye taa 200 gharama zinazobaki za mafundi na vifa vingine si anawasha huo mtaa mzima?
Acha mambo yako weweduuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!. wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. wajameni chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu. anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Unajua space ya taa hadi taa? Unajua Zita cover running meter ngapi au unapayuka tuu? Umaskini ni ugonjwa wa akilibora umaskini kuliko umaskini wa roho nzuri na ulafi, taa 32 zote zinajaa nje ya ofisi yake nyie mnaona sawa?
View attachment 1836051
serikali iko vizri sana mitaa ina giza kama la jehanamu halafu mtu anatumia taa 32 kuweka kwenye pavement yake , hizo taa 32 haziwezi kuwekwa mtaa wa jirani hapo?15 kila upande> yeye DC akawekewa barazani kwake taa mbili?Taa ya lak 2 kafunge nyumbn kwako, Serikali ina specs zake,kafunge yako ya laki 2 afu na Serikali ifunge za mil.3 afu baada ya mwaka utupe mrejesho.
Ni ushenzi mkubwa kuwa na mitaa mijini imejaa giza eti Kisa ukiweka kuna mtu atasema bei juu.
jamii forums iko kwa jili ya kutoa elimu toa elimu kwa sisi tuliorukwa na akili ,hata wkati mwingine saa mbovu husema ukweli......TAA 32 KWENYE PARKING Y A MAGARI NI ROHO MBAYA NA UFISADI ULIOPITILIZA WAKATI MAJIRANI USIKU WANAKBWA KWENYE VICHOCHORO VYENYE GIZAUnajua space ya taa hadi taa? Unajua Zita cover running meter ngapi au unapayuka tuu? Umaskini ni ugonjwa wa akili
Ununuzi na ufungaji wa hizo taa :Au labda ni teknolojia kama ya Mossad ,CIA? isije ikawa zina satellite ndani,taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000
View attachment 1835927
Umejibu hoja yangu au unaetoa maoni?serikali iko vizri sana mitaa ina giza kama la jehanamu halafu mtu anatumia taa 32 kuweka kwenye pavement yake , hizo taa 32 haziwezi kuwekwa mtaa wa jirani hapo?15 kila upande> yeye DC akawekewa barazani kwake taa mbili?
maaana hapa kikubwa ni watu wanlilia ulaji wao tu
incase you didnt notice mimi ndiye niliyeanzisha mada na ni maoni yangu....hizo taa 32 ambazo mnatetea kwamba serikali haipendi za bei rahisi kuna ubaya gani akatoa kadhaa ziwekwe mtaa wa jirani wenye giza hata kama ni upande mmpja kuliko kuzijaza kwenye pavement yake?Umejibu hoja yangu au unaetoa maoni?
ukiuliza hapa kuna watu wanakuwa wakali wanakuita hujasoma,unaambiwa umaskini ni mbaya sana...sasa jamani tueleweshane kuna logic gani ya kujaza mitaa yote kwenye nje ya ofisi yake utadhani uwanja wa mpira na kuna mitaa ya jirani giza tororo?Ununuzi na ufungaji wa hizo taa :
Si lazima kuwe na Procurement procedures?
Si lazima na tenda itangazwe ?
Michakato yote hii ndani ya wiki 3 , au ilikuwa tangu mwanzo kaukuta mpango wa Gondwe na yeye anajimwambafai nao?
Au mimi ndo sijui ?..
Wewe uwe mwelewa,hapo wataalamu wamefanya survey ya eneo ndio zikahitajika 32 ,sasa sijui wewe unadhani DC ndio alitoa hiyo idadi au?incase you didnt notice mimi ndiye niliyeanzisha mada na ni maoni yangu....hizo taa 32 ambazo mnatetea kwamba serikali haipendi za bei rahisi kuna ubaya gani akatoa kadhaa ziwekwe mtaa wa jirani wenye giza hata kama ni upande mmpja kuliko kuzijaza kwenye pavement yake?
Zina Bluetooth, subwoofer, memory cardi remote na king'amuziAu labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
View attachment 1835927
Mkuu umeanza kuzeeka vibayaZina Bluetooth, subwoofer, memory cardi remote na king'amuzi
Ungewauliza wanaijua bei ya solar battery n40 ambayo ina kiwango stahiki (ya kudumu miaka 5) au solar panel (inayodumu zaidi ya 25yrs) au wanadhani taa zote ni ule uchafu wa solar tunaouziwa madukani huko mitaani?Mfano km hizi nazani gharama yake inafika mil.3 pamoja na gharama ya ufundi.View attachment 1835985