King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hizi hapa hazifiki lakiView attachment 1836082View attachment 1836083
Mwizi Jakote Mwizi.. anaiba kodi zetu , MaCCM MIJIZI
Jokate anataka kuleta wizi wa mchana kweupe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hapa hazifiki lakiView attachment 1836082View attachment 1836083
Mwizi Jakote Mwizi.. anaiba kodi zetu , MaCCM MIJIZI
Jakote acha kutetea wizi wako hapa, mara hii ushaachana na falsa ya uzalendo na kuwa FISADI. Muogope Mungu JakoteUngewauliza wanaijua bei ya solar battery n40 ambayo ina kiwango stahiki (ya kudumu miaka 5) au solar panel (inayodumu zaidi ya 25yrs) au wanadhani taa zote ni ule uchafu wa solar tunaouziwa madukani huko mitaani?
Siwashangai namnukuu mchungaji Msigwa aliposema "shujaa wa kizamani..." sasa naona pia kumbe kuna "...wazalendo wa enzi za ujima!!" Wawekezaji ni mabeberu matajiri ni wahujumu wasiojitambua wanaitwa wanyonge!!
hebu piga picha kwamba jiji la daresalaam lingekuwa giza na hakuna taa kuongozea magari barabarani, unafikiri changamoto ya vyoo ingemalizwa kwa kulinyima taa jiji la daresalaam?!? wakati tunanunua ndege ya rais mramba nadhani alituambia watz tutakula hata manyasi lakini ndege lazima inunuliwe, je, tulikula hayo manyasi!?! kwa mtazamo wako nini kilipungua kwenye maisha ya watz?!? mabilioni mangapi yanatumika kuwalipa posho waheshimiwa hilo kwako ni sawa tu, lakini 102mn za dc wa temeke zinataka kukunyima usingizi. those things are peanuts kwa watz nenda kwenye mambo ya msingi ambayo yatabadilisha maisha ya watz, acha kulalamikia vijisenti hivyo, hata vilivyo vilivyopelekwa newjersey hukuenda kushtaki mahakamani kumdai jamaa avilete visaidie kujenga vyoo vya watoto wetu mashuleni. Mwlm. Nyerere aliwahi kutuasa watz tuwe tunaongelea masuala sio kahawaWananunua taa ila ela za mashimo ya choo mashuleni wanaomba kwa mabeberu.hizi ndo akili unazotuletea na wewe.nchi bado ina changamoto nyingi za msingi kuliko vitu vidogo vidogo kama hivyo japo vyaweza kua muhimu ila sio lazima nasio lazima vifanyike kwa anasa.
Inshu ni gharama ya hiyo huduma....kwa taarifa yako kazi itachukua weeks 2...hivi ofisi iko kwenye risk sana ya security hadi kuizungusha na taa 32? hawezi sambazia hata kwenye vikona vyenye giza wapate hata nne nne?
Hizi taa nanunua kwa 50-100k hata ukiweka mlingoti haizidi 200kUmeangalia tu taa kama taa kwa maana ya balbu na cover yake au?. Kuna solar system hapo, kuna sensing system ya kujua kama ni mchana au jioni, kuna mlingoti wa chuma na zege la kuweka, gharama za vibarua. Umewaza yote hayo? Pia nilitegemea ungeleta estimation ya gharama ambazo unadhani zingekuwa sahihi. Kusema m 3 ni nyingi bila kuwa reference point inakuwa haieleweki, nyingi ukilingalisha na nini? Hiyo ni relative term
Lkn wewe ndiye unayehitajika kusema ziko over estimated kwa kiwango fulani.watu wanaolalamikamimi kuuliza gharama na kusema sijui ni wivu sijui sijmaliza secondary school naomba mnisaidie kunijibu...HIZO TAA ZINA NINI CHA AJABU? MILIONI 100 HAIWEZI KUFUNGA TAA MTAA MZIMA HUO BADALA YA KUWEKA KWENYE OFISI YAKE TU?
unahisi ni sawa yeye kuweka taa za milioni 102 kwenye pavement ya ofisi yake?Lkn wewe ndiye unayehitajika kusema ziko over estimated kwa kiwango fulani.
Ili tujua value for money wewe usema unvyoelewa.
Kama hujui usianze kwa kukataa gharama kuna taa hata kwenye nyumba za kawaida zina bei ukiambiwa utakataa.
Wewe umekuja ili kutaka kueleweshwa lkn hapo hapo ukijitia mjuaji kwa kupinga gharama.
Kwanini usiwe muwazi kusema uelimishwe?
Sasa sisi hatujui.
Kwanza leta quotation ili tuelewe hizo 102mil zinafikiwaje
Kwani taa hizo ni aina gani ?unahisi ni sawa yeye kuweka taa za milioni 102 kwenye pavement ya ofisi yake?
hata kama gharama ingekuwa milioni kumi taa zote kweli kuna tishio la usalama wa hiyo ofisi kuzunguziwa hiyo mitaa?kama wanajua taa ni mhimu kwa usalama hakuna mitaa ya jirani kweny kona za giza zikafanyiwa hata mpango wa taa nne nne?Inshu ni gharama ya hiyo huduma....
Wewe ulikuwa unapendekeza taa ngapi zenye uwezo upi?
wahusika wako hapa kwenye huu uzi wana hasira kali sana utaitwa maskini ,mjinga ,wansema serikali ilisema hainunui za bei rahisi tena mmoja kasema huwa inanununua milioni 5 taa moja?hawa ndiyo wanatka watu walipe kodi za uzalendo kweli?
unaenda kujaza mataa kwenye pavemnent yako halafu majirani zako tu wanakabwa kwenye vichochoro vina giza ? 3,187,000? kwa taa moja..Lord have mercy kwa kweli
Halafu mazoezi ya usiku watu watafanyia wapiSafi sana, waweke na taa pale shamba la bibi panatia aibuuu!!!
hiyo ndiyo point yangu hata kama wanaona kununua za llaki tatu ni umaskini hizo 32 agawane basi hata na mtaa wa jirani zote anazungushia ofisi yake kweli? ubinafsi huoHiyo pesa angesambaza taa mtaa mzima ingependeza sana. Godwin gondwe hakua ivyo, na linapiga kazi mpaka raia wanamkubali.
Tenda imetangazwa ?????????Ungewauliza wanaijua bei ya solar battery n40 ambayo ina kiwango stahiki (ya kudumu miaka 5) au solar panel (inayodumu zaidi ya 25yrs) au wanadhani taa zote ni ule uchafu wa solar tunaouziwa madukani huko mitaani?
Siwashangai namnukuu mchungaji Msigwa aliposema "shujaa wa kizamani..." sasa naona pia kumbe kuna "...wazalendo wa enzi za ujima!!" Wawekezaji ni mabeberu matajiri ni wahujumu wasiojitambua wanaitwa wanyonge!!
hiyo ndiyo point yangu hata kama wanaona kununua za llaki tatu ni umaskini hizo 32 agawane basi hata na mtaa wa jirani zote anazungushia ofisi yake kweli? ubinafsi huo
Hadithi ya kuonyesha DC kafanya kitu ndivyo sivyo haina mshiko.Kwahiyo?
Taa zikiwekwa si ndio watu watafanya mazoezi vizuri zaidi? Au una maana ingine?Halafu mazoezi ya usiku watu watafanyia wapi