Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Kwa hiyo taa inazofunga serikali kama street lights ni laki tano? Hizo za laki tano ni za kwenye nyumba zenu
150$ complete set.. Weka na usafiri na faida ni around 400$
1625081264853.jpg
1625081261448.jpg
1625081253334.jpg
1625081258573.jpg
1625081205994.jpg
1625081202487.jpg
 
Naomba kuwakumbusha tu Hivyo vifaa havipatikani hapo karume sokoni

Vifaa vya umeme jua ni gharama
Ukianza kuchambua vitu vitakavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha tukio ni sawa tu.....
Maana kuna sensa, mlingoti,kitako cha mlingoti ambacho n zege,nondo, taa ,paneli na gharama za fundi hapo kuna mafundi ujenzi na umeme....

Disiii yupo sawa sema kwakuwa tunapenda kutibuliana kwa kuropoka ropoka pasipo kujua au kwa kujua...
kwa taarifa yako kazi itachukua weeks 2...hivi ofisi iko kwenye risk sana ya security hadi kuizungusha na taa 32? hawezi sambazia hata kwenye vikona vyenye giza wapate hata nne nne?
 
Limbukeni mkubwa wewe tena mjinga na mpumbavu! Katika hali ya kawaida unadhani vyote ulivyoorodhesha vinaweza kufanyika kwa wiki 2 kama siyo wizi na ufisadi!
Wapi nimeandika matusi kuonyesha hayo malipizi yako? Ufahamu wako kama unaruhusu matusi kiwango hicho bado hujakua,
 
zipo hapa hapa dsm hata tanga zimefungwa nyingi tu barabarani za 600,000 na ni automatic solar lights basi tu bana ndiyo maana bashite alikuwa anaweka number plates za Rc dar es salaam kwenye migari yake ya kifahari na watu walikuwa wanatetea
mwisho wa siku usishangae hiyo pavemnet yake ikafungwa taa za 300,000 (32)zikatoa mwanga mkali na watu wakashangilia
 
Niombee sana vibaya visichangamane na uzee wa wangu... Lakini hizo taa hazizidi laki 5
KiJakote nacho kimeona UFISADI ndio UCCM KAMILI .
Na asome alama za nyakati, hizo taaa kama ananunua kwa pesa ya mshahara wake sawa.
 
duuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!. wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. wajameni chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu. anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Wananunua taa ila ela za mashimo ya choo mashuleni wanaomba kwa mabeberu.hizi ndo akili unazotuletea na wewe.nchi bado ina changamoto nyingi za msingi kuliko vitu vidogo vidogo kama hivyo japo vyaweza kua muhimu ila sio lazima nasio lazima vifanyike kwa anasa.
 
Ukiwa humo Unakunya ( Unaukweka ) kuna Roboti inayokuchambisha 'Mtaro' na Kukunawisha pia hadi na Mikono yako au?
Jakote anajua miiko ya CCM huwezi kuwa kigogo CCM Mpaka uwe LIJIZI FISADI.
anajua anachofanya Jakote.
 
Umeangalia tu taa kama taa kwa maana ya balbu na cover yake au?. Kuna solar system hapo, kuna sensing system ya kujua kama ni mchana au jioni, kuna mlingoti wa chuma na zege la kuweka, gharama za vibarua. Umewaza yote hayo? Pia nilitegemea ungeleta estimation ya gharama ambazo unadhani zingekuwa sahihi. Kusema m 3 ni nyingi bila kuwa reference point inakuwa haieleweki, nyingi ukilingalisha na nini? Hiyo ni relative term

Taa za solar Auto zinawaka na kujizima zenyewe zenye watts 120 wanauza laki na 80,sasa hizo taa moja milioni tatu na laki 2 sijui za wapi.
 
KiJakote nacho kimeona UFISADI ndio UCCM KMILI .
Na asome alama za nyakati hizo taaa kama ananunua kwa pesa ya mshahara wake sawa.
Taa za solar Auto zinawaka na kujizima zenyewe zenye watts 120 wanauza laki na 80,sasa hizo taa moja milioni tatu na laki 2 sijui za wapi.
Hizi hapa hazifiki laki
1625081881024.jpg
1625081929577.jpg
 
Viongozi wa Serikali karibu wote ni wezi kusema ukweli ni upendo kwa Mola... Ni Kwamba hawatumii akili au ndio kwenye account zao washawekewa fwedha so inabidi wajitoe mhanga tu liwala na liwe... JOHCATE ni kibaka wa kike... PAMABAFU kabisa... Taa tu pesa ya kununua eicher bus for school chidren
 
Mama Samia atakuja kujuta sana kupokea majizi yaliyoachwa na jiwe.. and ndio itakuwa Majuto ni Mjukuu
 
Labda zina almasi


Mh rais waambie watu wako wafatilie hili swala.
wahusika wako hapa kwenye huu uzi wana hasira kali sana utaitwa maskini ,mjinga ,wansema serikali ilisema hainunui za bei rahisi tena mmoja kasema huwa inanununua milioni 5 taa moja?hawa ndiyo wanatka watu walipe kodi za uzalendo kweli?
unaenda kujaza mataa kwenye pavemnent yako halafu majirani zako tu wanakabwa kwenye vichochoro vina giza ? 3,187,000? kwa taa moja..Lord have mercy kwa kweli
 
Back
Top Bottom