Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

jamani taa 32 kwa ajili ya nje ya ofisi yake tu? basi hizo za milioni 3 achukue 10 kwa ajili ya ofisi yake, hizi za 600,000 achukue taa mia moja afunge mtaa mzima kwa wananchi
 
Sawa taa waweke ndo waweke za milioni 102 kweli?
 
Taa ya lak 2 kafunge nyumbn kwako, Serikali ina specs zake,kafunge yako ya laki 2 afu na Serikali ifunge za mil.3 afu baada ya mwaka utupe mrejesho.

Ni ushenzi mkubwa kuwa na mitaa mijini imejaa giza eti Kisa ukiweka kuna mtu atasema bei juu.
 
Acha mambo yako wewe
 
Taa ya lak 2 kafunge nyumbn kwako, Serikali ina specs zake,kafunge yako ya laki 2 afu na Serikali ifunge za mil.3 afu baada ya mwaka utupe mrejesho.

Ni ushenzi mkubwa kuwa na mitaa mijini imejaa giza eti Kisa ukiweka kuna mtu atasema bei juu.
serikali iko vizri sana mitaa ina giza kama la jehanamu halafu mtu anatumia taa 32 kuweka kwenye pavement yake , hizo taa 32 haziwezi kuwekwa mtaa wa jirani hapo?15 kila upande> yeye DC akawekewa barazani kwake taa mbili?
maaana hapa kikubwa ni watu wanlilia ulaji wao tu
 
Unajua space ya taa hadi taa? Unajua Zita cover running meter ngapi au unapayuka tuu? Umaskini ni ugonjwa wa akili
jamii forums iko kwa jili ya kutoa elimu toa elimu kwa sisi tuliorukwa na akili ,hata wkati mwingine saa mbovu husema ukweli......TAA 32 KWENYE PARKING Y A MAGARI NI ROHO MBAYA NA UFISADI ULIOPITILIZA WAKATI MAJIRANI USIKU WANAKBWA KWENYE VICHOCHORO VYENYE GIZA
 
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad ,CIA? isije ikawa zina satellite ndani,taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000

View attachment 1835927
Ununuzi na ufungaji wa hizo taa :
Si lazima kuwe na Procurement procedures?
Si lazima na tenda itangazwe ?
Michakato yote hii ndani ya wiki 3 , au ilikuwa tangu mwanzo kaukuta mpango wa Gondwe na yeye anajimwambafai nao?
Au mimi ndo sijui ?..
 
Umejibu hoja yangu au unaetoa maoni?
 
Umejibu hoja yangu au unaetoa maoni?
incase you didnt notice mimi ndiye niliyeanzisha mada na ni maoni yangu....hizo taa 32 ambazo mnatetea kwamba serikali haipendi za bei rahisi kuna ubaya gani akatoa kadhaa ziwekwe mtaa wa jirani wenye giza hata kama ni upande mmpja kuliko kuzijaza kwenye pavement yake?
 
Ununuzi na ufungaji wa hizo taa :
Si lazima kuwe na Procurement procedures?
Si lazima na tenda itangazwe ?
Michakato yote hii ndani ya wiki 3 , au ilikuwa tangu mwanzo kaukuta mpango wa Gondwe na yeye anajimwambafai nao?
Au mimi ndo sijui ?..
ukiuliza hapa kuna watu wanakuwa wakali wanakuita hujasoma,unaambiwa umaskini ni mbaya sana...sasa jamani tueleweshane kuna logic gani ya kujaza mitaa yote kwenye nje ya ofisi yake utadhani uwanja wa mpira na kuna mitaa ya jirani giza tororo?
 
Naomba kuwakumbusha tu Hivyo vifaa havipatikani hapo karume sokoni

Vifaa vya umeme jua ni gharama
Ukianza kuchambua vitu vitakavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha tukio ni sawa tu.....
Maana kuna sensa, mlingoti,kitako cha mlingoti ambacho n zege,nondo, taa ,paneli na gharama za fundi hapo kuna mafundi ujenzi na umeme....

Disiii yupo sawa sema kwakuwa tunapenda kutibuliana kwa kuropoka ropoka pasipo kujua au kwa kujua...
 
Wewe uwe mwelewa,hapo wataalamu wamefanya survey ya eneo ndio zikahitajika 32 ,sasa sijui wewe unadhani DC ndio alitoa hiyo idadi au?

Hilo la mitaa ya jirani ni mpango upya unahitaji utaratibu mwingine
 
Mfano km hizi nazani gharama yake inafika mil.3 pamoja na gharama ya ufundi.View attachment 1835985
Ungewauliza wanaijua bei ya solar battery n40 ambayo ina kiwango stahiki (ya kudumu miaka 5) au solar panel (inayodumu zaidi ya 25yrs) au wanadhani taa zote ni ule uchafu wa solar tunaouziwa madukani huko mitaani?
Siwashangai namnukuu mchungaji Msigwa aliposema "shujaa wa kizamani..." sasa naona pia kumbe kuna "...wazalendo wa enzi za ujima!!" Wawekezaji ni mabeberu matajiri ni wahujumu wasiojitambua wanaitwa wanyonge!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…