Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Na magu ndio katuletea huu ujinga, enzi za kikwete hata atukanwe yee anacheka tu.
Unamfahamu Mwandishi Marehemu Mwangosi? Unajua alisambaratishwa mwili ukageuka kuwa nyama,unamkumbuka Dr.Ulimboka? Hao wote masaibu yamewakuta kipindi cha awamu ya nne ya JK.
 
Yes, wewe ulisikia vizuri sana. Hiki kitu alikiongea vizuri sana siku ya kwanza na akafafanua masharti kama hayo kwamba hatutakiwi kuongeza matumizi kwa kuajiri.

Na hapo walikuwa wanazungumzia deni lilipofikia yaani 91, japo wahusika ndio hawatuambiagi hayo masharti. Siku hii walikuwa Gerald, Mussa na Kitenge.

Sasa siku nyingine tena (nadhani ni ndani ya wiki) ndio akasema binafsi hapendi serikali inavyokopakopa, hii hali ngumu tunayopitia ni kwa ajili ya madeni.
Nadhani hiki ndicho kilichowauma wahusika ingawa pia hakuongea kitu kibaya.
Siku hii walikuwa yeye na Mussa.
Nashukuru mkuu.
 
Unamfahamu Mwandishi Marehemu Mwangosi? Unajua alisambaratishwa mwili ukageuka kuwa nyama,unamkumbuka Dr.Ulimboka? Hao wote masaibu yamewakuta kipindi cha awamu ya nne ya JK.
Kuna watu chuki dhidi ya Magu zitawaua

Watawala wote waliopita hawakupenda kukosolewa na kwa nyakati tofauti waliwanyoosha wapingaji
 
Back
Top Bottom