reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Sijamzingizia nimesema wameshawahi mtuhumu hvyo...nimenukuu waliyoyasema watu...Babako alikuwa au kama bado yupo hai ni mchicha mwiba! Unapenda kusingizia wenziyo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo wazi ni ya uwongo. Huoni Gerald ana mke na watoto, tena wanaye wengine ni watu wazima?
Nimemsingizia nani?una visa na Mimi,baba angu kakukosea Nini?Kwa nini unapenda kutukana mtu asiyehusika
Hiki ulichokifanya Kwa mzazi wangu sijakusamehe mpk siku ya mwisho