Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kumbe Serikali ya CCM huwa inatoa pesa kwa watangazaji ili wawape sifa wasizostahili?Tunawajua huyo mlevi na njaa kali ....omba omba kitonga huyooo sasa Ukute wamemtolea nje kumpa mpunga awasifieeee