Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Huyu jamaa ndio fundi bomba

FB_IMG_1672506207338.jpg
 
Kuna waliosomea uandishi wa habari lakini hawana ujasiri wa kuhoji mambo ya Msingi kama hayo, watupu.
Kuna watu wamekariri uandishi wa habari lazima usomee.

Wakati ma legend wengi hawakusomea, wamefanya kwa uzoefu.

Ukiwasoma kina Larry King, Peter Jennings etc hawakusomea, kwa sababu walianza kazi wadogo sana wakaamua kujifunza kazini (practical) badala ya kujifunza shuleni (theory).

Siku hizi, unless upo katika licensed field kama utabibu au uanasheria, degree, kwenye mambo kama utangazaji, zinaonekana hazinanm umuhimu sana kama uzoefu, utashi binafsi wa mtu na kipaji.
 
Acheni kupenda kukopa kopa hovyo, na mwisho wa siku kuwatesa wananchi kupitia mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu.

Watanzania Wazalendo wote tuko upande wake. Wenzenu wanakopa kwa malengo, nyinyi mnakopa ili kujengea vyumba vya madarasa, na vituo vya afya! Yaani miaka zaidi ya 60 bado mnapambana dhidi ya maadui wale wale; ujinga, maradhi, na umaskini!!

Shame on you.
Na hayo madarasa wanayojenga hayana walimu.

Poor TZ
 
Nakumbuka wakati flani tunasotea bumu mtangazaji mmja akatukosoa basi kesho yake na mapema tuñakuta vyeti vyake ubaoni halafu daa hii nchi Ni noma sana
 
Acheni kupenda kukopa kopa hovyo, na mwisho wa siku kuwatesa wananchi kupitia mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu.

Watanzania Wazalendo wote tuko upande wake. Wenzenu wanakopa kwa malengo, nyinyi mnakopa ili kujengea vyumba vya madarasa, na vituo vya afya! Yaani miaka zaidi ya 60 bado mnapambana dhidi ya maadui wale wale; ujinga, maradhi, na umaskini!!

Shame on you.

Zaidi zaidi labda per diem za safari kila uchao lakini madarasa yanajengwa wapi ? [emoji2369]

Je Gharama ya madarasa ni kubwa kiasi gani ? Je yanaendana na thamani ya mikopo?

Je makusanyo ya ndani hayatoshi kujenga madarasa na zahanati?

Maswali ni mengi kuliko majibu aisee!
 
Back
Top Bottom