Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa mungu anakuona kweli unaamini jomba kutoa maoni yake nikosa?? Mlisoma shule gani nyie wenzetu ??Tunawajua huyo mlevi na njaa kali ....omba omba kitonga huyooo sasa Ukute wamemtolea nje kumpa mpunga awasifieeee
R.I.P Kibonde.Nakumbuka wakati flani tunasotea bumu mtangazaji mmja akatukosoa basi kesho yake na mapema tuñakuta vyeti vyake ubaoni halafu daa hii nchi Ni noma sana
Maoni yake angetoa insta huko kile chombo kinakuwa monitored.....sasa anawapa tabu wamilikiWe jamaa mungu anakuona kweli unaamini jomba kutoa maoni yake nikosa?? Mlisoma shule gani nyie wenzetu ??
Fresh tyuuu kwan Zembwela na baba level veepee?[emoji196][emoji196]Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani
Sio kwel mkuu,mliki naye anamakandokando mengi ndio maana katoka mbio kuomba radhi ,lakin kikatiba jamaa Yuko sawa maana katiba inasema kila mtu Yuko huru kutoa maoni yake tena haisemi atolee wapi . Lakin mkuu unazani tutakuwa na taifa la waoga kiasi hiki mpaka lini??Maoni yake angetoa insta huko kile chombo kinakuwa monitored.....sasa anawapa tabu wamiliki
Kwani wakina zembwela,mpoki,edo,sjui diva,na region zenu zote fm sjui wasafi clouds nk watangazaji wao wana taaluma hiyoKuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani
Na mpoki,zembwela wamesoma wapi mkuuamesoma turdaco(tumaini camps ya dar) kama sikosei kamaliza 2011
Marehemu Ephrahim KibonddNakumbuka wakati flani tunasotea bumu mtangazaji mmja akatukosoa basi kesho yake na mapema tuñakuta vyeti vyake ubaoni halafu daa hii nchi Ni noma sana
mbona yuko vizur sema media nyingi za bongo zimekaa kccmKuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani
Inawezekana kabisa wapo wengi waliingia kwenye media hivyo hivyo, kama hajajiendeleza kapita humohumo kwenye mazoea.Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani
Wewe ni lishamba, lioga, linafiki, lijinga na li limbukeni.Maoni yake angetoa insta huko kile chombo kinakuwa monitored.....sasa anawapa tabu wamiliki
Leta hoja huna haja kutukana.....jibu hojaWewe ni lishamba, lioga, linafiki, lijinga na li limbukeni.
Si vyema kuogopa kukopa ......Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani