Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.

Anayemjua vizuri atupe za ndani
Fresh tyuuu kwan Zembwela na baba level veepee?[emoji196][emoji196]
 
Maoni yake angetoa insta huko kile chombo kinakuwa monitored.....sasa anawapa tabu wamiliki
Sio kwel mkuu,mliki naye anamakandokando mengi ndio maana katoka mbio kuomba radhi ,lakin kikatiba jamaa Yuko sawa maana katiba inasema kila mtu Yuko huru kutoa maoni yake tena haisemi atolee wapi . Lakin mkuu unazani tutakuwa na taifa la waoga kiasi hiki mpaka lini??
 
Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.

Anayemjua vizuri atupe za ndani
Inawezekana kabisa wapo wengi waliingia kwenye media hivyo hivyo, kama hajajiendeleza kapita humohumo kwenye mazoea.
Mwenye nyumba ya vyoo hapiganii ugomvi wa mawe, na mwenye nyumba ya nylon hapiganii vita ya moto
 
Gerald Hando maoni yake hajakosea kitu na imagine hakuongea kwa jazba wala dharau wala dhihaka wala kejeli. He was well composed of himself when he articulated his opinion.

Halafu ndio nchi hii Media wanajifanya ni mhimili wa nne pumbavu zao machoko hao mhimili na kujikomba kwa aina ya huyo Majivu.
 
Back
Top Bottom