Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Na magu ndio katuletea huu ujinga, enzi za kikwete hata atukanwe yee anacheka tu.
Unamfahamu Mwandishi Marehemu Mwangosi? Unajua alisambaratishwa mwili ukageuka kuwa nyama,unamkumbuka Dr.Ulimboka? Hao wote masaibu yamewakuta kipindi cha awamu ya nne ya JK.
 
Nashukuru mkuu.
 
Unamfahamu Mwandishi Marehemu Mwangosi? Unajua alisambaratishwa mwili ukageuka kuwa nyama,unamkumbuka Dr.Ulimboka? Hao wote masaibu yamewakuta kipindi cha awamu ya nne ya JK.
Kuna watu chuki dhidi ya Magu zitawaua

Watawala wote waliopita hawakupenda kukosolewa na kwa nyakati tofauti waliwanyoosha wapingaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…