Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Siku ukitamani dada zako , au mama zako wawe makahaba ili wawe wanabinuliwa na kufyonzwa kila maji basi serikali itakusikiliza hoja Yako.

Otherwise, tulia tupambane na vita hii mmonyoko wa maadili inayochochewa na kiwango kikubwa Cha umasikini kwenye jamii zetu
 
Ni bora umlipe malaya anayekuridhisha nje kuliko kuwa na mwanamke mvuta midomo ndani ya nyumba mkuu
Hakuna kitu kinakwaza kama kuishi na mke mvuta mdomo na kusonya mkuu,wakati nje maua (mademu)wengi wanakupa hai zakutosha na kutabasamu ndio maana wanaume wanaamua kwenda kwa makahaba maana makahaba wanajua mbinu za medani sana.
 
Nikajua mm peke y
Nikajua ni mm tu ndo nabahati mbaya nanyimwa unyumba tuanzishe chama Cha wanaonyimwa unyumba na wake zao Ili turuhusiwe kupata wasaidizi
 
Watakuwa wanatushitaki mahakamani mara kwa mara kwa kuwabaka!
 
Umetema logic tupu mwenye masikio na asikie,hii imeenda mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…