Hmmm....eti ni kweli...?

Tunacheateana wote hakuna asiyecheat na tunajua............Mume mwenyewe si wamjua weye ataacha kucheat yule kha usiniangushe vipi kale kaserengeti boy leo vipi kanatoa Tusker malt au???

Lol........kashamba kale leo kako bize na vinuka maziwa!tujiendee tu kwa mzee wetu.
 

Kwa kweli Nyamayao unaweka mapoint ya kueleweka
Nitakucheki midamida ..mie yangu moyoni hapa...maana jioni inaweza kuwa mzungu four
 
Dena Amsi umeibukia wapi wewe mdada
Mzee kishapita hapa kuchungulia eti anahoji wife mnaongelea nini hapa kwenye hii sread na mbona wewe hufunguki ha ha ha ...sasa ngoja niende kwenye siasa ..:israel:

Nimemsoma ndo kanishitua hebu ingia huko kwa cheaters wenzio mkashangilie huoni nilivyokuja mbio..............

Ha??!!! Siasa mie sitaki stress za weekend nikashindwa kunywa Tusker Malt yangu bure...............
 
kweli kabisa mdada..............
hapo kwenye idadi, ingekuwa yale mambo mengine hayapo tungekuwa tunawaambia "wewe ndo wa kwanza" lol!
 
Tuulize kila mmoja kawapanga wangapi, utapewa jibu
 
Mods unganisheni hii na ile niliyoweka jana
 
I m back,naona hapa waungwana mnaongelea mambo mawili,kuiba na kutunza siri sasa sijui nianzia wapi,lakini anyway nitaanzia na kuiba kwa nilivyoona mimi binafsi na kushuhudia kwa wengine ni kuwa kwa kiasi kikubwa binadamu wote awe mume au mke anaiba au alishawahi kuiba,tofauti inakuja katika kutunza siri.Kiukweli ni kuwa mwanamke ana uwezo mkubwa sana wa kutunza siri na ndio sababu huwa inaonekana kuwa hawachit lakini kosa moja wanalifanya ni kutunza siri kwa muhusika tu na si kwa jamii inayoshuhudia wizi huo.Kwa hiyo Nkwingwa Nyani Ngabu aliyetoa hiyo statement wala hajakosea sababu asilimia kubwa ya wasichana wana misururu mikubwa ya washiriki kutuzidi hata sisi ila kila anayepita huwa anaambiwa mimi napenda siri bwana akijua wazi kuwa akionekana mgawaji mzuri basi na soko litapungua..
 
Last edited by a moderator:
una hakika yaani mtu watu wawili wakukwide kwa wakati mmoja? never
 
Halafu wewe umeanza maswali gani tena haya alahhh ana mkataba sababu nimemwambia ni yeye peke yake mpaka tuoane
utakuwa na uhakika gani atakuoa? kwa nini asisubiri?
 
FL1 hakuna cha mzungu four wala five mwaga sera hapa bana. Unacheat au unacheatiwa
oooh mama unataka kuvunja ndoa ikiwa bado changa hehehehehe si unajua muzee ni memba halali wa JF nikisema nachitiwa kasheshe .. mie sichiti ...ingawa sometimes shetani anapigana na imani yangu ...oyoyo oyoyo oyooooo:sleepy:
 
i wish to find one who can lie to me and keep secrets

i am so good at uncover secrets that i hate myself for that....

we umeishadanganywa na amekeep secrets sema huwezi kujua umedanganya mpaka ujue ukweli na huwezi kujua ana siri mpaka ujue hiyo siri which means unaweza ukawa umedanganya zaidi ukijua ni ukweli kumbe sio.
 
una hakika yaani mtu watu wawili wakukwide kwa wakati mmoja? never



Mh Smile,unanishangaza mama we unasema wawili tu au unataka kunidanganya na mimi.Watu wanakwidwa na watano mpaka kumi na wote hao hawajuani kila mmoja kwa muda wake na mnabakia kutusingizia tu eti mwanaume ndio chanzo mh....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…