Hmmm....eti ni kweli...?

Kwa kweli Nyamayao unaweka mapoint ya kueleweka
Nitakucheki midamida ..mie yangu moyoni hapa...maana jioni inaweza kuwa mzungu four

hahaha anajua upo humu? hahaha mapendo/mapenzi ya agape hayo, hivi huwa mnawaambiaga kabisa nipo JF na ID yangu ni FL1? hahaha.....Dena nimekumiso mwaaahh!
 
oooh mama unataka kuvunja ndoa ikiwa bado changa hehehehehe si unajua muzee ni memba halali wa JF nikisema nachitiwa kasheshe .. mie sichiti ...ingawa sometimes shetani anapigana na imani yangu ...oyoyo oyoyo oyooooo:sleepy:

Ha ha ha ha mdogo mdogo usijenyimwa ile kitu inamesa mwensake
 
Mh Smile,unanishangaza mama we unasema wawili tu au unataka kunidanganya na mimi.Watu wanakwidwa na watano mpaka kumi na wote hao hawajuani kila mmoja kwa muda wake na mnabakia kutusingizia tu eti mwanaume ndio chanzo mh....
si rahisi mkuu huyo ni malaya lakini mahusiano ya kweli kucheat hata na mmoja tu ni kazi kweli kweli watu wanakabaje?
 
hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?
kweli kabisa ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe!
 
unamwambia wewe ni wa kwanza kumbe fangasi nazo zinatoa bikra...

Tunakubali tu kwa kuwa tumeshazoea kudanganywa na hakuna kitu kizuri kama pale unapodanganywa ilhali unajua wazi kuwa huu ni uongo,sasa hapo sijui mjanja ni nani..??
 
hahaha anajua upo humu? hahaha mapendo/mapenzi ya agape hayo....Dena nimekumiso mwaaahh!
nyamayao una hasira leo... mimi sijawai kucheat wala sitokaa ila si rahis i mwanaume kujua siri zangu...kwanza ni upuuzi kuulizana umetembea na wangapi kama vipi watuwekee luku zisome units.ikitoka si imetoka jamani no ya nini?
 
hahahah Mama Mkwe umenichekesha sana karibu sana weekend
Kula kunywa kulala bure .
Ila bado najiuliza kama kila kitu unapata kwa mwenza upendo,mapenzi,mahitaji muhimu
Sababu ya kucheat ni nini?
FL1, mimi nadhani hakuna sababu ya kucheat, ni litabia tu. kuna watu ambao hawapati kabisa hayo mapenzi kwa wenzi wao lakini hawezi kabisa kutoka nje ya mwenza wake, na wengine wanapata kila kitu lakini kila siku yupo na mtu tofauti.
 
nyamayao una hasira leo... mimi sijawai kucheat wala sitokaa ila si rahis i mwanaume kujua siri zangu...kwanza ni upuuzi kuulizana umetembea na wangapi kama vipi watuwekee luku zisome units.ikitoka si imetoka jamani no ya nini?

Wewe mtoto wewe umekuwa sana siku hizi. hiyo kitu haina alama bana Nanukuu "Kama nanihii zingekuwa zinatoa matundu ............................" Hii thread sijui nani aliiianzisha sikumbuki vile..............
 
eheheee bora maana zingekuwa zinasoma nyingine zishablock no more penetration ohohoooo mi bikra jamani
 
Kucheat si ni kumpa mtu mwingine k ambaye si wa kwako wa kila siku au?? Mie sijui bana

D.A Naona umekuja na kasi zaidi...Habari ya kupotea dear?? Tulikumisije??

Back to the topic

Ni kweli kabisa pigia mstari....ukitoa K au M pembeni tu basi umecheat...
 
hahaha anajua upo humu? hahaha mapendo/mapenzi ya agape hayo, hivi huwa mnawaambiaga kabisa nipo JF na ID yangu ni FL1? hahaha.....Dena nimekumiso mwaaahh!
hata mimi nilikumisso sana my dear.
hawa vijana si unajua wanaambiana kila kitu siyo kama sisi wa miaka ile, eti madai ni kwamba hakuna kufichana. wanapokuja kushtuka anaona kama anaota vile
 
si rahisi mkuu huyo ni malaya lakini mahusiano ya kweli kucheat hata na mmoja tu ni kazi kweli kweli watu wanakabaje?

Smile unakataa hapa sababu,labda utakuwa bado ndio unapalilia penzi jipya au unaye na yumo humuhumu anajua ID yako lakini ukweli hapo hakuna suala la umalaya wala nini,mfano mimi niliwahi kuwa na mkurugenzi wangu kazini hapohapo Dar ambaye ameolewa na Dr mmoja mkubwa tu mjini,lakini yule mama alinitamkia wazi kuwa mumewe kazidisha safari na anajali zaidi majukumu yake hivyo yeye hafurahii kabisa tendo la ndoa nyumbani kwake na akaniomba niwe msiri wake ili nimuokoe na mateso anayoyapata.Na kunihakikishia analolisema first meeting ilikuwa London alipoenda kuwakilisha kampuni yake nami nikawekwa kwenye list ya safari.Sasa kwa mama kama huyo unaweza kumwita malaya au mtu aliyezidiwa na anahitaji huduma..
 
Last edited by a moderator:

Women cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…