Wazingu wakitoweka,watabaki kwenye miili ya warabu,waafrika,latino kutokana na kuchanganyikanaHua nashangaa sana watu kujivunia population kwamba watawashinda wazungu. Yaani kwa mawazo finyu wanafikiri itafikia kipindi wazungu watafutika kwenye uso wa dunia wabakie wao. Huu ni utaahira
wkt wa nyerere mzungu gani alikujakizembe kuchimba chimba humu?!! ni kipindi cha Nkapa tu!! Mwenye akili za kimachinga, ndo walikuja kuchimba!! DRC hapakuingilika kirahisi enzi za Mobutu...thubutu.....Ujajibu bado kipi wamekosa kukipata hadi wasubirie tuuane ndo wapate?
mwafrica mwenzio akishiba weye unaumia zaidi kuliko mzungu akishiba??? LOool! ni asili ya roho mbaya wacha ale si ndg yako?walipigania UHURU kwa maslai ya matumbo yao na sio maslai ya waafrika.
Umaskini wako siyo wetu! sisi tuna hele tunashiba masaa 24 Mungu amekupiga kofi tubu acha kiburiMaadui wa Afrika ni njaa, ujinga, maradhi na umasikini a
Hitre, Mussolini, Mfalme tojo, Pharaoh, Alex andduniani amewahi Pambana na watu akawashinda,
Me nakuelewa sanaYote hizi ni propaganda mfu za miaka ya 70 enzi za vita baridi ziliasisiwa Urusi kwenye chuo cha patrick lumumba. Mrusi na Mchina ndio walitengeza kirusi hiki cha fikra za kijamaa ili kumuwini mwafrika awe upande wake kumpandikizia chuki ya kuwachukia wazungu kambi ya Magharibi.
Hizi idealogy not applicable kwa kizazi cha sasa chenye fikra huru zilikuwa na nguvu miaka ya 70
Wapo wapi sasa hiviHitre, Mussolini, Mfalme tojo, Pharaoh, Alex and
Wachache SAwa mnasaza Mimi nasema majority ya watz je wanasaza.Umaskini wako siyo wetu! sisi tuna hele tunashiba masaa 24 Mungu amekupiga kofi tubu acha kiburi
Mwafrika mwenye akili ni yule mwenye njaa pekee,akishiba uwezo wa kufikiri upungua.mwafrica mwenzio akishiba weye unaumia zaidi kuliko mzungu akishiba??? LOool! ni asili ya roho mbaya wacha ale si ndg yako?
Kwann waingie gharama wasababishe vita kupata nn wakikosacho kama wawekezaji hali ukiwa na pesa popote duniani unawekeza to cha vita Ili kulinda maslai . Watawala wa kiafrica wanaanzisha vita lakini wazungu ndio wanao ingia gharama za kuhudumia.Umaskini wako siyo wetu! sisi tuna hele tunashiba masaa 24 Mungu amekupiga kofi tubu acha kiburi
Bado population ya China ni kubwa kuliko waafrika wote,bado population ya wahindi ni kubwa kuliko waafrika wote.Hofu ya European ni Population growth, they are racist, they think wao pekée ndio wanafaa kuwepo ktk huu ulimwengu, ndio maana wako na projects nyingi zenye lengo la kufanya mwafrika awe depopulated...
sometimes hata nzige huwa tishio kwa binadamu.Nyie msioweza kujenga matundu ya vyoo kwa watoto wenu wa shule ndio muwe tishio kwa watu wanaochunguza maisha sayari nyingine huko? Huu ulevi wa kahawa umewazidia naona
excellentHofu ya European ni Population growth, they are racist, they think wao pekée ndio wanafaa kuwepo ktk huu ulimwengu, ndio maana wako na projects nyingi zenye lengo la kufanya mwafrika awe depopulated,,, lakini kutokana na sheria asili za dunia hawawezi kwa kuwa black race iko strong ktk nyanja za kiafya.
Hofu nyingine ni migration from Africa to Europe, in comparison with high population growth for the African race, with depopulation in Europe.... In the long run I think it will result to the colonization of EuropeView attachment 2083628
View attachment 2083629
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hawa hawakuwa na migogoro mingi km waafrica hasa utumwa na ukoloni!! na bado ukolono mambo leo! na hata hao siyo tishio kwa Dunia km ilivo kwa mwafrica!!Bado population ya China ni kubwa kuliko waafrika wote,bado population ya wahindi ni kubwa kuliko waafrika wote.
Hizi ni nadharia tu zisizo na usawa.India na China still wanazalisha zaidi kuliko waafrika.
sisi mika 50 tu ya uhuru tuko hivi!! kwa idadi!! je tusinge uzwa utumwani je?.........haya hao miaka nenda rudi wanatuzid padooog sana na sasa COVID nameingine meeengi VINAWAPUKUTISHA!Bado population ya China ni kubwa kuliko waafrika wote
Big up meeen! You are coming up!!! .......kuna wengi hawajui haya baelezee baba!! Elimu kubwa hii!Wazingu wakitoweka,watabaki kwenye miili ya warabu,waafrika,latino kutokana na kuchanganyikana
Kutoweka kwa viumbe sio jambo geni.
Mfano watu wafupi wa kongo wanadhaniwa watakuja kutoweka.
Wanyama wa Africa nao wanadhaniwa wanaweza kuja kutoweka kama hawatalindwa, hata baadhi ya mimea inatoweka.
Exnction ni nature na viumbe vingi vimetoweka na kuzaliwa vingine kwa mijibu wa evolution.
Suala la wazungu kutoweka huwa linajadiliwa sana mitandaoni japo muda mwingine linakokezwa na black American , na wazungu wanahisi wao wanachukiwa na race zote hivyo wanajitahidi kuunda hata siraha kali za kujilinda.
Kutoweka kwa wazungu ni conpiracy theory sio fact.