Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Hizo rasli mali Wanazo iba kwetu izo rasili mali zao watazitumia wapi hao wanatuwekea sisi huko ulaya ndo tutazitumia wao si wanakufa bana!! au huoni???hali raslimali yeyeto waitakayo afrika uipata kama wawekezaji pasipohaja ya kuingia gharama kugharamia vita.
Kabisa mkuu sis wa Africa hatujui tunataka nin.Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Viongozi wetu hawako committed kuleta mabadiliko.
Tunapambana na adui mwingine wakati adui yetu tunaishi naye.
Ni kweli kabisaKabisa mkuu sis wa Africa hatujui tunataka nin.
Hakuna kuiba hii BIASHARA huria tunawauzia wao sababu ndio utoa pesa nzuri.Hizo rasli mali Wanazo iba kwetu izo rasili mali zao watazitumia wapi hao wanatuwekea sisi huko ulaya ndo tutazitumia wao si wanakufa bana!! au huoni???
Mungu hana ubaguzi ni wa wote,sisi tumepewa mali kama walinzi tu kwetu hazina thamani bila kuwauzia wao.sisi mika 50 tu ya uhuru tuko hivi!! kwa idadi!! je tusinge uzwa utumwani je?.........haya hao miaka nenda rudi wanatuzid padooog sana na sasa COVID nameingine meeengi VINAWAPUKUTISHA!
Ruka galagala africa ndoo yenyewe Mungu alisema kitambo sana!! Dunia hii sie ndo tunatamalaki!
Ukoloni mamboleo ni propaganda tu za watawala wa kiafrica walioshindwa kuwaletea waafrika maendeleo.Hawa hawakuwa na migogoro mingi km waafrica hasa utumwa na ukoloni!! na bado ukolono mambo leo! na hata hao siyo tishio kwa Dunia km ilivo kwa mwafrica!!
Hakuna mwana wa Africa anae anzisha vita tu!! bila sababu km yupo mtaje......nikupe ukweli uliofichwa!propaganda za kijamaa zilizojaa lengo la kumuwini mwafrika awe upande wa Urusi.
Watawala wa kiafrica wanaanzisha vita lakini wazungu ndio wanao ingia gharama za kuhudumia.
Ujamaa haukushindwa bali kilikuwa kipindi cha mpito kuelekea Uhuru kamili!mawazo ya kijamaa ya miaka ya 70 yaliyojaa chuki za kushindwa kwa watawala wa kiafrica baada ya mbwembe za kudai UHURU Ili waje wanufaike
Sisi km Taifa au Bara tuna uhuru wa kuchagua nani awe rafiki na nani asiwe rafiki kwa faida ya Mwafrica....... narudia tena hata km hao viongozi walivuna lkn si wako kwetu humu humu?? wamajenga wametumia walicho kivuna kiko humu kama walianzisha viwanda, Mabenki, mashule kwani ni kwa faida ya nani?? watoto wao na sisi... wacha wale wanaajili watanzania, wanasomesha watanzania sasa shida iko wapi! acha chuki!propaganda za kijamaa zilizojaa lengo la kumuwini mwafrika awe upande wa Urusi.
wakikusikia watakucheka sana...mfano Sadam/Gadafi utasema ameondolewa na Walibya?? na ndivo Historia ya Magaharibi itakavo andika!!......wale wanatumia udhaifu wenu kuwafanya wanavo taka! km weye hujui tu!Mwafrika alichukuliwa utumwani kwa hiari yake hata ndie aliyeshiriki kumuuza mwafrika mwenzake k
walijitahidi mno kukataa hiyo hali mpaka wengine wakafa ajili ya Kuwa pinga mfano Yaya zomba wa angola alipinga, mkwawa!! mangi sina nk walipinga!! kilichofanyika walijipenyeza km walivo fanya Libya!! au tuseme mtu mwenye fikra km zako ndo walitumika!wanakijiji walishindwa vipi kuwaua hao wafanyabiashara Ili wawakomboe waafrika wenzao
Mbinu kabambe za kumjua Adui ni kukaa nae!!..lkn kwa mawazo yako hayo weye usiende sababu huna malengo, hiyo moja pili kule watu hakuna wataishi vipi??? na sisi ndo wa Dunia hii wale ni maplastic tu hawawezi bila sisi covid si unaijua wewe? hayaStill hata leo waafrika wamejaa embassy zao kuomba viza za kwenda utumwani kubeba boksi kwa hiari.Mimi Katu siwezi
Kwanza wazungu walitumia waafrica wenye roho za kinafiki ambao hao waliuza siri hiyo ya mafanikio!! .....bila hao tusinge chukuliwa, mfano ni ile vita ya majimaji....tuliuzwa na watu km wewe ambao walikuwa hawaamini ktk mafanikio yetu... vita ile .ilitisha Dunia mpaka leo wanatuheshimu!!!uchawi ni sayansi ya mwafrika, kwann mwafrika alishindwa vipi kutumia uchawi kuwazuia wasichukuliwe utumwani au kutawaliwa au kunusuru dini au tamaduni yake isiharibiwe na dini ngeni uoni ya kwamba mzimu ni kitu
Alikuwa ni mtawala aliye tumiwa na wao mabeberu,, ikafika mahali akawa mnafiki yaani kuwageukia ndg zake waafrica na kujipendekeza OAU Hapo sasa wakamchoka wakamuua, kutumia mwafrica Kibraka Mwenzake Prince johnson, ambaye huyu nae alipata mafunzo CIA! nae wakamwondoa kijanja asije toa siri ya uovu wao!Samuel Doe alivuna alichopanda kwa kutaka kuigeza liberia mali yke
Idd amini hakusoma so alikuwa kibaraka mkubwa wa kupenda vya wazungu km unavo wasifia !! akaandaliwa mapema sana akiwa KAR km kaptein wa jeshi nchini kenya!! km kawaida ya wazungu wali tizama udhaifu wake tu! wakaona ngoja wamtumie km wale waliouza ndg zao utumwani!!!Iddi Amin alikuwa bogus ilikuwa sahihi kuvuna alichopanda badala ya kujenga alibomoa
SI kweli kwa uanasheria wake Mandela aliweza shiba mnooo!! lkn aliamini bora afe gerezani kuliko kuona mwafrica akinyanyaswa!! na kweli ilikuwa ivo miaka 27 kavukavu alipigika! icon of africa......Mwafrika mwenye akili ni yule mwenye njaa pekee,akishiba uwezo wa kufikiri upungua.
Maendeleo yataletwa na wewe!!! siyo kiongozi sasa kwanini wengi mlimchagua?? mkampenda mpaka leo manmuabudu?? km wewe hutaki basi wengi wape!!watawala wa kiafrica walioshindwa kuwaletea waafrika maendeleo
Mweee!! dogo wana nini hao!!! sisi hapa tuna madini yasiyo hesabika ambayo hata miaka million hayaishi! ukiweka na sisi wenyewe tulivo faida!! yaani sisi tu ni zaidi ya madini!! hujiulizi tu tuliuzwa km bidhaa!! inamaana sisi ni lulu ya Dunia!!dubai, china, india, vietnam, Malasyia, norway sweden denmark huko hakuna ukoloni
Mtu mzima atukani, viongozi wa afrika ujiweka madarakani sio kwa ridhaa ya wananchi,thus uishia kuiba na kuficha nje,kutibiwa nje,nk.Maendeleo yataletwa na wewe!!! siyo kiongozi sasa kwanini wengi mlimchagua?? mkampenda mpaka leo manmuabudu?? km wewe hutaki basi wengi wape!!
km mie muongo simama palee Bungeni tukana nyerere uone utakavo shukiwa na watoto wadogo wakupige mpaka unye!!! utake usitake anaheshimiwa Duniani! ........africa ndo kabisaaa mama weeee!! ..........yaani kwa hilo tu la julius kuipenda Mama africa wabongo kule south km kwao.....hawaguswi ....
Unatawaliwa kifikra kuamini kuwa wazungu ndio mentors wako.Yote hizi ni propaganda mfu za miaka ya 70 enzi za vita baridi ziliasisiwa Urusi kwenye chuo cha patrick lumumba. Mrusi na Mchina ndio walitengeza kirusi hiki cha fikra za kijamaa ili kumuwini mwafrika awe upande wake kumpandikizia chuki ya kuwachukia wazungu kambi ya Magharibi.
Hizi idealogy not applicable kwa kizazi cha sasa chenye fikra huru zilikuwa na nguvu miaka ya 70
Ulidanganywa sana dogo!! kwa nini wanweka mikataba ya kimkakati!! kwa nini penye Madini vita haiishi!! mnapigana huku wanaiba waoHakuna kuiba hii BIASHARA huria tunawauzia wao sababu ndio utoa pesa nzuri.
Wao wanazitumia kutengeneza vitu wanauza wakipata faida utupa sisi misaada na mikopo Ili tusife njaa so Hakuna wizi bali zinarudi kwetu tena,na hata tukishindwa kulipa utusamehe madeni yetu awakamati mali zetu kama wachina.
Kama tumeshindwa kuvigeuza fursa Ili tupate basic needs vinatufaa nini sasa.Mweee!! dogo wana nini hao!!! sisi hapa tuna madini yasiyo hesabika ambayo hata miaka million hayaishi! ukiweka na sisi wenyewe tulivo faida!! yaani sisi tu ni zaidi ya madini!! hujiulizi tu tuliuzwa km bidhaa!! inamaana sisi ni lulu ya Dunia!!
kwanza hatufi hovyo! kwa sababu tumekaa juu ya vito vya thamani miaka ijayo mifupa yetu itatengeneza majumba ya kifahari huko anga za juu!! hivi unajua kuwa sayari ya Mars mweusi anaweza ishi bila shida?
lkn mzungu anakufa dakika sifuri!...ok jiulize tu kwanini hatufi na COVID km wao?? ukimwi umedunda ndo kwaaanza tunaongezeka maradufu
Si believe in Mzungu wala siabudu wazungu,Mimi ni realistic mlali wa usawa.Unatawaliwa kifikra kuamini kuwa wazungu ndio mentors wako.
Hizo ni propaganda uzushi,wanapigana wao au sisi ndio tunauwana sababu ya ujinga wote.Ulidanganywa sana dogo!! kwa nini wanweka mikataba ya kimkakati!! kwa nini penye Madini vita haiishi!! mnapigana huku wanaiba wao
Loool! ujiweke madarakani nani kasema??? tutakuchalaza fimbo tu mpaka uipate...jiwe kajiweka!! yuko wapi??.....tena na ccm hao hao wakamkolimba! yuko wapi leo???.....viongozi wa afrika ujiweka madarakani sio kwa ridhaa ya wananchi,thus uishia kuiba na kuficha nje,kutibiwa nje,nk.
Sababu kubwa ni wazungu ambao wanawatumia viongozi wetu wasiyo jielewaHaya mawazo ni ya miaka ya 70 enzi za vita baridi.
Na Sio applied kwa kizazi cha sasa zama hizi.
1.
Hayo madawa ya uzazi wa mpango yapo afrika pekee?
2.Wapi Mzungu anashika silaha kumuua mwafrika.
Kama waafrika wanauwa waafrika wenzao Mzungu anahusika vipi sasa.
Kama mnakubali kuchonganishwa Ili muuane Mzungu anahusikaje na ujinga huu.
3.Wanazaa Sana SAwa lakini awaishi miaka mingi sana sababu ya njaa,lishe duni, umasikini nk.
Matatizo ya afrika yanasababishwa na waafrika wenyewe
Mtutu wa bunduki wa nini dogo!!!...jiwe kaondoka kwa mtutu wa bunduki weye? usilazimishe mtutu bana.....nani akakae porinia umwe na mbung'o? eti ale kwa mashaka! hiyo ni zamni bin kale...nchi yetu wenyewe tukakae porini unaumwa au?Kama mtawala anajifanya dikteta na ana kiuka katiba,mtutu wa bunduki ndio jibu lake lzm afungashe.