Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Wewe jamaa ni Mpuuzi sana.Sasa umefaidi utamu,umejipima kabla na baada ya mchezo uko salama ,kinachokufanya uchanganyikiwe ni nini sasa??.
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Mhh acha kudanganya watu
 
Kwa taarifa yako TB na malaria kali hupelekea vipimo kusoma +ve. Na kumbuka TB ni magojwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa so obviously huyo mwenza wake asingeweza kuepuka majibu yaliyo sawa na partner wake. We unafukiri kuna cha ajab hapo¡!!!?
 
Sijawahi kupitia comments za watu mwanzo mwisho hv ila huu uzi imebidi[emoji38][emoji38]

Huyu jamaa goodhearted daah kuna tatizo mahali au imekuaje aisee[emoji28]
 
Mwishowe madawa ndo yakuuwe kwa kuharibu mafigo na maini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…