Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Huyo kilichomkuta hakuwa tayari kukubali kuwa ameukwaa,ukijikana tu lazima ukutese mnoo,ukija kushtuka umeshakuchosha na hata ukitumia dawa zinagoma,hapo ndipo alipofanya kosa,narudia tena,ukimwi sio ugonjwa,pata kansa uone kama utachukua round na mateso yake usiombe kabisa mkuu
 
Hii brain wash tulofanyiwa ni ya kiwango cha bahari asee. Yani umekaa zaidi ya mwezi(muda mliopewa na matapeli kwamba virusi vitakuwa vimeonekana) umepima huna kitu. Lakini bado una kiherehere et yawezekana vipimo vimekosea au sijui virusi vimejificha kwenye angle flani ya mwli kwo unahitaji kipimo sijui cha ukubwa gani. Lakini tambua yote hiyo ni janja ya tapeli kunetia mwili wako ili mradi tu vichore vimstari viwili aanze kuvuna mahela.

Kwa nn malaria au tb ni mara moja tu. Unayo unayo kweli huna huna kweli
 
Tulia wewe'!
 
Mimi hata nikiupata sasa hv,sitajuta,sana sana nitakula mbaazi na kuendelea na maisha yng,siwezi kujikondesha halafu nijifie niwaache watoto wangu wajiteseka
Hizo mbaazi ndo zinaenda kukuua vibaya sana. Pengine hata kuacha familia yako na umasikini wa kutupwa

Mfano mdogo tu, ushawahi kufikiria kuhusu gharama ya kufanyiwa dialysis?
 
Hizo mbaazi ndo zinaenda kukuua vibaya sana. Pengine hata kuacha familia yako na umasikini wa kutupwa

Mfano mdogo tu, ushawahi kufikiria kuhusu gharama ya kufanyiwa dialysis?
Dalysis utaanzwa kufanyiwa baada ya miaka 20 mbele huko,na kama una Bima hakuna matata
 
Unawapoteza wenzako mkuu

Jirani yangu (18yrs form 3) kapimwa kakutwa nao

Acha kabisa huu ugonjwa upo
nimeogopa sana
Mkuu naomba nikuulize swali, hivi kazi ya antibody ni nini? Na pia unafahamu nini maana ya antigens?
 
Unaelewa nn kuhusu antibody na antigens mkuu? Tuanzie hapo
 
Binafsi ningeweza kukuunga mkono kwa hili, but no research, no right to speak, and when you do the research you must come out with evidence which contains data from authenticated sources which can provide truth information about certain phenomena.
Ndio sina research,hii ni circumstancial evidence,ila it is very compelling.Kumbuka kwamba hii ni issue yao,so kuifanyia utafiti is next to impossible.

Hata hivyo to me the fact that hawaja tuonyesha huyo Virus(kama ilivyo kwenye Covid) wanayedai kwamba ana-cause Aids,inahakikisha kwamba wanadanganya.Hii haina tofauti na assertion kwamba mvua ikinyesha na Jua linawaka,basi Simba anazaa.Ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huu.
 
Kwa taarifa yako TB na malaria kali hupelekea vipimo kusoma +ve. Na kumbuka TB ni magojwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa so obviously huyo mwenza wake asingeweza kuepuka majibu yaliyo sawa na partner wake. We unafukiri kuna cha ajab hapoΒ‘!!!?
Ni ngumu kuwaelewesha watu walioshikilia mitazamo yao kwa nguvu zote.
 
Wewe umekaririshwa tu kwamba ukimwi umetengenezwa maabala. Sasa wewe unafikiri watafanya nini ili kukuaminisha kwamba kweli ukimwi upo.

Hivi unahabari kuwa hizo dawa za ukimwi unazopewa wakati huo zikiitwa AZT,zilitumika kwa watu wa kansa kabla hata ya huo ukimwi kugunduliwa. Na unajua sababu ya kufanya hivo

Hivi unajua hakuna jopo la wanasayansi lililokaa(kama ilivyo kwa magonjwa mengine) na kuthibitisha kuwa kweli kirusi cha HIV kinashusha kinga ya mwili zaidi ya watu wachache kujitangazia njama yao kwa malengo yao wayajuayo

Lakini pia hivi unajua hata mgunduzi wa hicho kirus anakiri kwa kinywa chake kuwa hakina uwezo wa kushusha kinga ya mwili zaidi ya poor life style ya binadam

Endelea kuamini kwamba ukimwi ulitengenezwa maabala
 
Dalysis utaanzwa kufanyiwa baada ya miaka 20 mbele huko,na kama una Bima hakuna matata
Weww unaongea may be kwa kuwa uchumi wako upo vzr na una uwezo wa kubima. Jiulize kwa mtu anaeishi kwa chini ya nusu dola itakuaje.
 
Uko sahihi mkuu. Watu wengi wasichojua ni namna gani HIV AIDS inapipwa, na hapo ndipi wanapopigiwa.

Mwili wa binadamu umeumbwa kiasi kwamba unaweza kupambana na magonjwa kwa kutumia Kinga hasili ya mwili/antibody (assume antibody ni kama wizara ya ulinzi). Leo hii uking'atwa na mbu wa malaria, antibody (wizara ya ulinzi) ikidetect ilo jambo itarelease antigens (assume hawa ni askari sasa) ili kuweza kufight vimelea vya malaria. Na ikivishinda, mwili utakuwa salama, hautopata malaria. Kwahiyo tukisema tukupime wewe, tukikuta una antigens waliokuwa wanapigana na vimelea vya malaria, hatuwez kusema unamalaria, Bali tutaupongeza mwili kwa kuweza kujilinda. Ili tuseme una Malaria, lazima wale bacteria wanaosababisha Malaria wawe nidetected, wakishaonekana kwenye vipimo hapo tunasema unamalaria, then unapewa dozi ya malaria. Na antigens wapo wa aina tofauti tofauti kutegemeana na mwili unapambana na tatizo gani.

Sasa tukirudi kwa upande wa ukimwi, jinsi unavyopimwa ndio inashangaza. Vipimo karibia vyote vya huu ugonjwa fake vinapima uwepo wa antigens. Kwamba Kuna specific antigens wakiwa detected tu, basi utaambiwa una ukimwi. Yani badala waupongeze mwili kwamba umetoa askari wa kuupambania, wao wanauhukumu na kusema uwepo wa wale Askari (antigens) maana yake ww ni mgonjwa. Kwanini magonjwa mengine yote huwa tunapima vimelea vya ugonjwa husika, Ila kwa ukimwi tunapima antigens?

UKIMWI = Upungufu wa Kinga Mwilini, yani wakuu mnaamini kuwa Upungufu wa Kinga aliokuwa nao mtu mmoja, unaweza kuambukiza mtu mwingine?

Tuchukulie mfano rahisi, yani mpenzi wako akiwa na utapiamlo, then akuambukize utapiamlo wake kwa kujamiiana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Covid imekimbia baada ya kuona makombora ya ukraine and urusi.

Sijui kwanini H.I.V Haiogopi makombora. Mpaka leo bado kaugonjwa kanasumbua.
H. I. V ni biashara ya kimataifa sasa hivi. Wengi huko Magharibi wananufaika
 
Yeah hamna labda kwasababu ni bure ndio mana.
arv sio Bure. Serikali inaingia gharama kwa ajili ya hizo dawa. Achana na neno msaada unalosikia wanasema hao watu wa West
 
Asante sana mkuu,umesaidia sana ku-expand my comment with simplified scientific facts.Thankyou so much.Niseme hivi,the intelligent see what is happening,lakini wajinga na wapumbavu wataendelea kudanganywa.
 
Huko kwenye AZT umeenda mbali. Warejee historia ya ugunduzi wa huo ukimwi wao ndo watapata picha.
 
Vipi ulipima na kujua Afya yako??.
 
Usiogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…