Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Ni sawa tu mradi wapinzani na wao wapate majimbo hii nchi yetu sote na wananchi lazima watumikiwe.
NB:Hii ni nchi ya kidemokrasia.
 

Naona hii series za kugawa majimbo wabunge wanatengeneza, wanaongea itakuwa nje ya bunge, kisha wanaanza kupaaza sauti, ili kumshawishi au kumshinikiza kiaina Mh. Rais Dr. Samia akubali kuingia kingi. Mama Samia ni mwerevu sana, huu mtego mdogo hawezi ingia

Hili haliwezekani, full stop, Mama yetu, Rais wetu, Dr. Samia, usiingie katika huu mtego kisa maslahi ya wabunge wachache na sio maslahi ya wananchi au Taifa.
 
Ndiyo mkaamua na nyie kumpandikizia wakala wenu Josephine Mushumbushi akamaliza mchezo hadi leo mzee hajulikani kama anakwenda au anarudi nyie watu wabaya sana.
 
Mimi naona tusiwe na Bunge kabisa kwani kile ni kijiwe cha wakubwa kwenda kutafuna kodi zetu na kuendekeza uzinzi tu.
 
Hujui tofauti ya federal government and electoral constituency elimu yako ya political science ni ndogo sana, jamani elimu ni bure sometimes.
ndio madudu gani hayo sometimes
 
Wanawaza namna ya kupata maeneo ya kukaa tu na kufanya biashara zao ndani ya siasa bila kujali kuwatumikia watanzania. Mabadiliko lazima yaje
 
Majimbo yanatakiwa yawe kutokana na wingi wa watu na si eneo
 
Mama asikubali huu ujinga na ubinafsi wa watu kuongeza majimbo ni kuongeza gharama Kwa walipa kodi, na hata huko bungeni raia hatuoni umuhimu wa bunge lenyewe.
Ila mama namwaminia kama alikataa chato kuwa mkoa sembuse kuongeza majimbo
 
Ndiyo mkaamua na nyie kumpandikizia wakala wenu Josephine Mushumbushi akamaliza mchezo hadi leo mzee hajulikani kama anakwenda au anarudi nyie watu wabaya sana.
kwa ile mashine mnato hata kama angepandikizwa kwangu nisingechomoka jomba..
 
Gambo atafute kazi yakufanya ,aliyempa ubunge hayupo ameshachukuliwa na Mungu, hakuna anayemjua Arusha.
 
Muda wa Hala umeshaisha atafute kazi ya kufanya
 
Duh
 
Maulaji mapochopocho je ??!! Spika mmoja mstaafu alipata kuwaomba wananchi wawahurumie wabunge maana wana maisha magumu sana !!
 
Ni sawa tu mradi wapinzani na wao wapate majimbo hii nchi yetu sote na wananchi lazima watumikiwe.
NB:Hii ni nchi ya kidemokrasia.
Ujue mzigo ni wetu wananchi tunaowalipa kwa kutumia kodi na tozo mbalimbali tunazotozwa kila siku !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…