SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mzee Halima Mdee naye anamhofia mwanaccm mwenzake Askofu Rashid huko Kawe anataka na yeye akatiwe pande lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni
Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi
Jumaa kareem!
Ndiyo mkaamua na nyie kumpandikizia wakala wenu Josephine Mushumbushi akamaliza mchezo hadi leo mzee hajulikani kama anakwenda au anarudi nyie watu wabaya sana.CHADEMA ya sasa ni weupe zaidi. Watu makini wamepungua sana. Nakumbuka Dr Slaa enzi zile karibu uongozi wote wa CCM mkoa unapiga kambi Karatu kuhakikisha wanarudisha jimbo CCM kumbe Dr Slaa nae kapenyeza mamluki kama wote ndani ya CCM. Siku ya uchaguzi CCM tunaishia kulaumu Dr kaiba kura. Ilikuwa sio poa muziki wa yule Mzee. Alikuwa anapendwa kuliko kawaida.
Njiti mshirikina sanaTulia atuambie lile jeneza liko wapi.
ndio madudu gani hayo sometimesHujui tofauti ya federal government and electoral constituency elimu yako ya political science ni ndogo sana, jamani elimu ni bure sometimes.
Mama asikubali huu ujinga na ubinafsi wa watu kuongeza majimbo ni kuongeza gharama Kwa walipa kodi, na hata huko bungeni raia hatuoni umuhimu wa bunge lenyewe.Naona hii series za kugawa majimbo wabunge wanatengeneza, wanaongea itakuwa nje ya bunge, kisha wanaanza kupaaza sauti, ili kumshawishi au kumshinikiza kiaina Mh. Rais Dr. Samia akubali kuingia kingi. Mama Samia ni mwerevu sana, huu mtego mdogo hawezi ingia
Hili haliwezekani, full stop, Mama yetu, Rais wetu, Dr. Samia, usiingie katika huu mtego kisa maslahi ya wabunge wachache na sio maslahi ya wananchi au Taifa.
Ikitokea Matokeo yasisimamiwe na DED, kura zihesabiwe kwa uwaziWabunge wa Ccm hawawezi kutoboa Katika Fair grounds i tell you homie
kwa ile mashine mnato hata kama angepandikizwa kwangu nisingechomoka jomba..Ndiyo mkaamua na nyie kumpandikizia wakala wenu Josephine Mushumbushi akamaliza mchezo hadi leo mzee hajulikani kama anakwenda au anarudi nyie watu wabaya sana.
DuhHali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema.
Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema.
Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi.
Maulaji mapochopocho je ??!! Spika mmoja mstaafu alipata kuwaomba wananchi wawahurumie wabunge maana wana maisha magumu sana !!Kwani kazi ya wabunge ni kuchunga watu kama kondoo, sasa wameongezeka waongezewe mchungaji?
Matatizo ya wananchi sehemu kubwa ni miundombinu na hudmua (barabara, maji, masoko, hospitali, ardhi na ulinzi na usalama) ambavyo ni vile vile kila mahali wawepo watu 10 au 15.
Itis very strange way of thinking
Ujue mzigo ni wetu wananchi tunaowalipa kwa kutumia kodi na tozo mbalimbali tunazotozwa kila siku !!Ni sawa tu mradi wapinzani na wao wapate majimbo hii nchi yetu sote na wananchi lazima watumikiwe.
NB:Hii ni nchi ya kidemokrasia.