Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Kwa hiyo umoja party ni ya magufuli? Hao wanyonge ni akina nani wakati jpm alikua anawaambia watu nchi yao ni tajiri. Kuna tajiri mnyoge? Umssikini wa kufikiri.
 
Kwa hiyo umoja party ni ya magufuli? Hao wanyonge ni akina nani wakati jpm alikua anawaambia watu nchi yao ni tajiri. Kuna tajiri mnyoge? Umssikini wa kufikiri.
Umekunywa nini mda huu?

Nchi kuwa tajiri na wananchi kuwa tajiri ni vitu sawa?

Tanzania ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii kwa maelezo yako ilitakiwa
iwe ya pili kwa utalii lakini ni ya 120++.

Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo Africa lakini ni nchi inayoongoza kwa kuagiza ngozi.

Tanzania imezungukwa na maziwa, mabwawa na mito bila kusahau bahari lakini tunaagiza samaki.

Nadhani umeona utofauti wa nchi kuwa tajiri na watu wake kuwa matajiri.
 
Mkuu umeshajiunga umoja Party? Nasikia ndio chama chenu kipya kupambana na Chama dola Ccm, je mtaweza?
 
Ccm ni baba lao. Mtapoteza muda na pesa zenu bure
Hujasoma historia wewe..
Kuliwa na Alexander the great, kulikuwa na ottoman empire.
Kulikuwa na kina Nimrod..
CCM ni kama mtoto mchanga ukiiinganisha na hao lakini walianguka.
NB:"Sheria zote huwa zinabadilika isipo kuwa sheria ya mabadiliko".
Kidumcho ni mabadiliko tu ndg, miaka 60 tu mnaona CCM imefaulu the test of time.
 
nakubaliana na wewe. Hao wanaoitwa wanyonge zaidi ya kudanganywa na kujidanganya huku wakifurahia matajiri kuwa maskini hakuna walichopata
 
🤣🤣Good insight.

Marekebisho tu: Alexander the great alikuwa mfalme wa Uyunani ya kale akiangusha dola ya Umedi na uajemi na sio wakati wa Ottoman.
 
nakubaliana na wewe. Hao wanaoitwa wanyonge zaidi ya kudanganywa na kujidanganya huku wakifurahia matajiri kuwa maskini hakuna walichopata
Wanyonge wakideki barabara Lowasa na ukawa walishangilia.
Machinga walipotumiwa na ufipa kuandamana mlishangilia na wakati
huo hatukisikia kuwa ni watu wenye choyo.
Kama ni kweli wanaroho mbaya na hawapendi matajiri walimpa vipi ushirikiano Mbowe licha ya kuwa tajiri??
Au wameanza kuwa na roho mbaya walipo msupport Magufuli??
 
🤣🤣Good insight.

Marekebisho tu: Alexander the great alikuwa mfalme wa Uyunani ya kale akiangusha dola ya Umedi na uajemi na sio wakati wa Ottoman.
"Kulikuwa na Alexander the great, kulikuwa na ottoman empire"
hapo hujaelewa nini licha ya huo mkato??
I am standing still your mind is what moves.
 
Hilo swali ungejijibu wewe mnyonge. Mimi siko kundi la wanyonge myfriend🤣
 
Pole mkuu
 
Bila Kusahau Rukwa na Katavi
 
Utajua mwenyewe lililopo sasa ni kwamba chama kinasubiriwa na mamilioni ya watanzania
 
Haujawahi kuwa na msimamo hata siku moja, wewe ulihama ccm kwenda Chadema kumfuata Lowasa, mlipokosa mlichofuata wote mkarudi ccm, na huko ccm chama kimerudi mikononi mwa wenyewe sasa mmekuwa kama malaya mnatapatapa tu.

Hopeless kabisa.
Sawa tu
 
Uko sahihi sana ndugu yangu
 
Mimi ni raia mwenye fikra huru, najiunga na chama kwa sababu ya itiikadi na sera kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kukiwa na chama kipya, chenye itiikadi na sera bora kuliko vingine...
Tuliza mshono. Chama kipya ndio hicho kinakuja.
 
Utajua mwenyewe sisi mbele kwa mbele na UP
 
Ninaachaje chama kinachohubiri "UMOJA"?? kule kijani wabaki wanaojiita wenye chama,walamba asali. Sisi wanyonge na malofa jahazi letu limeshatia nanga
Azimio la umoja Kenya limefika huku. Falsafa ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…